Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

mi naona atakufa tu ataoza na kunuka,asife yeye nani ?
 
Wenzio walikua wanawaza ujinga kama wewe. Mwaka jana pamoja na figisu zooote ukawa wameendelea kukua.

Ni mjinga tu ataedhani eti waTz wa sasa vjjn ni wale wa enzi za mkapa kurudi nyuma. Na ndo itakua hasara yake hiyo.

By the way, CCMScrow imebaki na majeshi tu na tume. Haina watu tena. Unachokiona matokeoni ni mabavu ya dola. So matakwa ya watu.

Unajua kwanini serikali haitaki motandao ya kijamii hasahasa jF?
 
Si kila mara mtu ni mwema na si kila mara ni mdhambi. Unapohamia upande wa nuru tunakuona kukukaribisha na kukupongeza. Ukibaki gizani tunaendelea kutupa mawe ya ukweli hadi yatakaowapata wazinduke.

Leo nakupa Somo Moja. ' Si kila unaetofautiana nae Mtazamo au Mawazo ni Mnafiki'
 
Hehehe unajipa moyo eti the country is boiling... Unajua % ngapi wanakaa vijijini na maisha kwao yamekua vile vile kwa muda mrefu na bado hawajaona haja ya kubadilisha chama? Sana Sana wanasikia juhudi za Mkuu kupiga vita ubadhirifu wa vijisenti vyao vinavyokusanywa. Matatizo yako wewe kama mkazi wa mjini hayawezi kuleta mapinduzi yeyote the way unavyoongea na wenzako wachache kwenye vigenge vyenu vya pombe na kujihamasisha na kujiaminisha na upuuzi.
Nyoko wewe
 
Kuna moods JF walikuwa mabingwa wa burn kumbe magufulu ndye bingwa wa burn. Atatoa burn kuanzia kwa memberz mpaka maxence hadi kwa hosts. Inauma sana. Sijui anadhani humu kuna viwanda.
 
TE="FaizaFoxy, post: 18895771, member: 43551"]Maneno mazito sana hayo.[/QUOTE]
Hata wewe umekubali?
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Wanaosoma ndio waliokuletea na wewe hata angeandika halafu akampa mtoto achezee ujumbe ungefika..
 
hivi majeshi nayo yalikaguliwa vyeti vyao vya shule? au ilikuwa ni walimu tu
 
I think peaceful means a the best way of solving problems than silence political party.
 
Big up vijana, huyu mkuu wenu wa nchi anafanya vitu live kila mtu( kwa wale watanzania)wanaona, iyacheni mipropaganda, kutoka nje ya nchi ambao wako humu nchini wanaishi bila kibali. wasituvurugie maebdereo yetu!! Wako wengi sana hapa!!!! tuwatafute tuwajue tuwatimue kwao!!!! Tafadharini sana vijana wangu!!!
 
Nchi haiongozwi na tweets kama za Trump! I once had respect to this fellow ila hiyo tweet yake imenifanya nimuondoe kwenye orodha ya watu flani!
 
Back
Top Bottom