Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Bora watu wanamtia moyo M.Melo. You have no idea furaha anayopata just to know "He is not alone in this"
[HASHTAG]#peaceOut[/HASHTAG]
 
Alipotoa Maoni yake kuwa bora zibaki Serikal Mbili aliitwa Mnafiki akatukanwa sana humu Kama vile Yeye haruhusiwi kuwa na Mawazo binafsi!
Hiki Kizazi cha Zika kimeshaalaaniwa!
ukitoa maoni mazuri watu watakupongeza na kukushangilia na ukitoa maoni mabovu watu watakudharau na kukuzomea bila kujali kwamba,kuna siku ulitoa maoni mazuri, lazima uelewe hivyo,asielewe hivyo anajilazimisha upumbavu
 
Kumwita Mtu Mnafiki ni Conclusion sio event
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].

Nashindwa kukuelewa mtu kama wewe usiyejua nguvu ya media. haya maneno yanapenya haraka sana kuliko unavyoweza kuamini.
 
Nashindwa kukuelewa mtu kama wewe usiyejua nguvu ya media. haya maneno yanapenya haraka sana kuliko unavyoweza kuamini.
sio kila media ina nguvu ya kupenyeza hayo maneno ni watanzania wangapi wenye account twitter?! Angeyasema kwenye kongamano live au hata mikutanono media nyingine zingeweza kuandika na kutangaza kuwa profesa kasema hivi, uliza mtaani kwako kama kuna mtu amepata huu ujumbe wa profesa.
 
Back
Top Bottom