Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

aiseee "let me respect an old man in any professional where men die young" meseji derivered
 
The oracle has spoken

[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
 
Ujumbe huu ni wa kipekee.....ukilenga kutahadharisha. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.....wahenga walisema mavi ya kale hayanuki......
Angalau wale tuliokuwa tumekata tamaa ya kutokuwepo maprofesa Tanzania imani imerejea sasa!
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].

Mkuu kama wewe ujumbe umekufikia, basi message sent and delivered.
 
Ukiona mpaka Jongwe Prof Shivji kaongea!!Ujue si salama tena.
Hawa ni wale wasomi wanaosema kwa mizania,yaani hajipendekezi na wala haonei mtu.Licha ya kuwa Shivji alikuwa ni mfuasi mzuri wa Mwalimu,lkn bado alimkosoa kwa maandiko na kwa kauli.

Kwani huyu Sizonje haoni kuwa tupo ktk zama mpya?Kuziba uhuru wa habari ni sawa na kumzuia mtu mwenye tumbo linalouma kwa gesi "kupumua",mpe muda apumue ili apate ahueni.

Haakuna kitu kizuri kama "Uhuru",hakuna binadamu asiyependa kupewa nafasi kuongea na kueleezea hisia zake.Hata mke nyumbani,mpe kila kitu,pesa,magari na chakula...lkn ukimzuia hata kufika mtaa wa pili,unaweza kumkuta nyuma ya uzio na kijana wa shamba akipitishwa kwenye tundu la seng'enge

Watu tunajidai kuupeda utawala wa sheria lakini utawala wa sheria ukifuata mchakato wa kusimamia sheria kila mmoja wetu anasahau utawala wa sheria anaamua kuwa jaji au hakimu pasipo kuwa na weledi wa kufanya hivyo. Tutafakari, kila mmoja wetu akizifahamu taratibu za kisheria na tukiamua kuwa wakweli hatutakuwa tukiogelea katika bwawa la uongo na uzandiki kutoka kwa watu ambao tunajiaminisha eti wanajua kufikiri zaidi ya wengine wote.
 
Uhuru ulizaliwa siku binadamu alipozaliwa

Mtoto anapozaliwa tu hutoa sauti japo kwa njia ya kilio,anapokua hujieleza kwa njia hiyo kama ana njaa,au anahisi joto.

Uhuru una asili ya ubinadamu,Uhuru ni ubinadamu,ubinadamu bila Uhuru unakuwa ubinadamu ambao haujakamilika.
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Mimi, ww na yule tutafikisha ujumbe huu kwenye jamii
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
[emoji35] umemaliza[emoji57]
 
Hii ni dhahiri wananchi accross all cadres of life are tired!.
The country is boiling, and it is boiling very fast!. Cool heads need seat and ponder and reflect where are we heading to?!
This country is not an island!

Hehehe unajipa moyo eti the country is boiling... Unajua % ngapi wanakaa vijijini na maisha kwao yamekua vile vile kwa muda mrefu na bado hawajaona haja ya kubadilisha chama? Sana Sana wanasikia juhudi za Mkuu kupiga vita ubadhirifu wa vijisenti vyao vinavyokusanywa. Matatizo yako wewe kama mkazi wa mjini hayawezi kuleta mapinduzi yeyote the way unavyoongea na wenzako wachache kwenye vigenge vyenu vya pombe na kujihamasisha na kujiaminisha na upuuzi.
 
Watanzania tulianza kupigania haki tangu enzi za mababu zetu akina Mkwawa, Isike, Chabruma, Mirambo, n.k. Wakati huo hakukuwa na mikataba ya kuheshimu haki ya kimataifa, hakukuwa na simu, hakukuwa na radio, internet, mitandao ya kijamii, wala TV lakini watu walijua wanatakiwa kuwa huru, hata kama uhuru huo haukuwa kwa tafsiri ya leo, lakini walijua kuwa walistahili uhuru na haki.

Akaja Mwalimu na wenzake, Mwinyi, Mkapa, na kisha Kikwete. Wakati wote huo tumeendelea kujenga Taifa ambalo tunataka liwe na uhuru kamili, demokrasia kamili, haki kamili, n.k. Hatujafika huko lakini tumekuwa tunapiga hatua. Kinachoshangaza sasa hivi badala ya kuzidi kupiga hatua kwenda mbele, tayari tunarudi nyuma.

Binadamu ni mtu huru ndiyo maana Mungu kamwumba kila mmoja na kichwa chake chenye ubongo unaojitegemea. Mtu yeyote anayetaka watu wote watumie ubongo wake kwa kila kitu, hawezi kufanikiwa, badala yake atasababisha matatizo makubwa.
 
Back
Top Bottom