Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Do not generalise.Watu wote na akina nani ?

Hii ni dhahiri wananchi accross all cadres of life are tired!.
The country is boiling, and it is boiling very fast!. Cool heads need seat and ponder and reflect where are we heading to?!
This country is not an island!
I
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Huyu babu hajaanza leo kuongea pumba against serikali. Kwanza ni shabiki mkubwa wa kuvunja Muungano wetu na Zanzibar (soma kitabu chake kinaitwa Zanzibar and the Union Question). Na mara nyingi amekua akitoa kauli na mafundisho yenye utata lakini kwa utashi wake ni nadra watu wengu kumuelewa anachomaanisha...kwa kifupi huyu babu hajawahi kuiunga mkono Serikali ya Tanzania kwa lolote!! I doubt utanzania wake ni upi hasa!! Sasa hizo laana zinakujaje ikiwa sheria imepitishwa na inatoa miongozo juu ya makosa ya mitandaoni? Kwahiyo serikali isisimamie sheria kisa shivji na ukuadi wake wa kiarabu kasema jambo?? No thank you...jaman Tanzania ni ya watanzania wazalendo na wenye mapenzi mema juu ya amani na utulivu uliopo...makuwadi wote mnaotumwa kutuvuruga kwa namna yoyote mshindwe na mlegee kila sahemu. Tutii sheria bila shuruti...
 
'In hearing you will hear, but will not understand, and seeing you will see, but ... So they make Isaiah's prophecy come true: 'You will hear clearly but never understand.
 
Huyu babu hajaanza leo kuongea pumba against serikali. Kwanza ni shabiki mkubwa wa kuvunja Muungano wetu na Zanzibar (soma kitabu chake kinaitwa Zanzibar and the Union Question). Na mara nyingi amekua akitoa kauli na mafundisho yenye utata lakini kwa utashi wake ni nadra watu wengu kumuelewa anachomaanisha...kwa kifupi huyu babu hajawahi kuiunga mkono Serikali ya Tanzania kwa lolote!! I doubt utanzania wake ni upi hasa!! Sasa hizo laana zinakujaje ikiwa sheria imepitishwa na inatoa miongozo juu ya makosa ya mitandaoni? Kwahiyo serikali isisimamie sheria kisa shivji na ukuadi wake wa kiarabu kasema jambo?? No thank you...jaman Tanzania ni ya watanzania wazalendo na wenye mapenzi mema juu ya amani na utulivu uliopo...makuwadi wote mnaotumwa kutuvuruga kwa namna yoyote mshindwe na mlegee kila sahemu. Tutii sheria bila shuruti...

Pumba tuu.wewe nawe mzalendo?
 
Watu tunajidai kuupeda utawala wa sheria lakini utawala wa sheria ukifuata mchakato wa kusimamia sheria kila mmoja wetu anasahau utawala wa sheria anaamua kuwa jaji au hakimu pasipo kuwa na weledi wa kufanya hivyo. Tutafakari, kila mmoja wetu akizifahamu taratibu za kisheria na tukiamua kuwa wakweli hatutakuwa tukiogelea katika bwawa la uongo na uzandiki kutoka kwa watu ambao tunajiaminisha eti wanajua kufikiri zaidi ya wengine wote.
Unaweza ukawa utawala wa sheria lakini sheria zilizokufa(dead laws) pale bunge linapohongwa ili kupitisha sharia ambayo haiendani na wakati husika na sheria hiyo ikasimamiwa vzr , kamwe hatuwezi kusema ni utawala wa sheria.
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].

Ulitaka aandike Facebook
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].

Siku hizi wanakupa muda basii...ukiitisha press tu kabla waandishi hawajafika wao washafika na taarifa za kiintelijensia
 
Kweli mwinyi aliona mbali aliposema nchi ipo kama gari bovu ambayo imekata "center bolt". Aina mwelekeo wameshindwa kazi wamebaki na ubabe tu.
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Bora, ijapokuwa katoa maoni yake, hata kama kwenye mtandao, usitake kila mtu afikiri unavyofikiri wewe.
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
umefikiria ulichokiandika?......Na unaweza toa sababu ya serikali kumuandama Maxence kama ''wananchi wengi hawawezi kupata ujumbe kupitia mitandao''?....Ni live ipi hiyo itakayoweza kucapture large audience kwa wakati mmoja?
 
Back
Top Bottom