Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Posts
7,038
Reaction score
9,353

IMG-20161216-WA0004.jpg
 
Ukiona mpaka Jongwe Prof Shivji kaongea!!Ujue si salama tena.
Hawa ni wale wasomi wanaosema kwa mizania,yaani hajipendekezi na wala haonei mtu.Licha ya kuwa Shivji alikuwa ni mfuasi mzuri wa Mwalimu,lkn bado alimkosoa kwa maandiko na kwa kauli.

Kwani huyu Sizonje haoni kuwa tupo ktk zama mpya?Kuziba uhuru wa habari ni sawa na kumzuia mtu mwenye tumbo linalouma kwa gesi "kupumua",mpe muda apumue ili apate ahueni.

Haakuna kitu kizuri kama "Uhuru",hakuna binadamu asiyependa kupewa nafasi kuongea na kueleezea hisia zake.Hata mke nyumbani,mpe kila kitu,pesa,magari na chakula...lkn ukimzuia hata kufika mtaa wa pili,unaweza kumkuta nyuma ya uzio na kijana wa shamba akipitishwa kwenye tundu la seng'enge
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuna walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Mwambie mwenzio......ujumbe utamfikia huyo unayemwita wa kawaida
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuna walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].

This is the 21st century effective means of communication, hayo makongamano yanaudhuriwa na kila mtu? bila shaka hapana.
 
Back
Top Bottom