Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Hii ni dhahiri wananchi accross all cadres of life are tired!.
The country is boiling, and it is boiling very fast!. Cool heads need seat and ponder and reflect where are we heading to?!
This country is not an island!
Nchi inachemka wapi? Come on, mnadhani wrote wana access na mitandao? Problem with the Tanzanian elite mnadhani mnachofikiria ninyi ndicho kilichopo kwenye jamii. Think outside nthe box otherwise mnafukuza upepo
 
Nchi haiongozwi na tweets kama za Trump! I once had respect to this fellow ila hiyo tweet yake imenifanya nimuondoe kwenye orodha ya watu flani!
Issa Shivji is no longer relevant... that's stark reality
 
Nchi haiongozwi na tweets kama za Trump! I once had respect to this fellow ila hiyo tweet yake imenifanya nimuondoe kwenye orodha ya watu flani!

acha kujiprndekeza wewe nyumbu ambae ata ukuu wa wilaya hujapewa
 
Ukiona Pius Msekwa kada kinda kinda na mwenzake Malcela wamenyamaz kimya wakati ndo gumbaru wa sisiyenu jiongeze sana kuna giza totoro wameshaliona linakuja.
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
we mbona umeupata? fala we
 
Hata HG wangu anafatilia kwa karibu suala la Max...
Watanzania wa leo siyo wa jana...
Hajawai hata kusoma JF lakini anayajua haya thru Facebook
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].

Shivji ni msomi haendi kimbulula mbulula ,shida ujumbe ufike kwa mkuu na umeshafika.

Over
 
Pasko alileta uzi kua alimhoji Shivji juu ya mwenendo wa nchi hii katika mlengo wa sheria (nadhani walikua kwenye kongamano).

Shivji hakujibu, alikaa kimya na kuonesha kua hataki kujibu.

Eti leo nimuamini? Hapana aisee.
Ahsante sana
Wanye busara hawaongei sana, wala hawaongei ovyo
 
Wanye busara hawaongei sana, wala hawaongei ovyo
Hujakosea, wenye busara pia huhitajika kipindi mambo yanaenda mrama. Na pale ndiyo yalikua yanachanganya akakaa kimya, kisa leo ametweet hivi wewe ndiyo unapost hiyo komenti.
Mtindo wa kujisahaulisha unatumaliza.
 
Ukiona makomredi wenzetu kama hawa wametoka hadharani kulaani upumbavu unaofanyika jua kwamba tayari hali imekuwa mbaya..tumepoteza DIRA na muelekeo ni kitu cha hatari sana.
Huyu anajaribu kupoza hali tete anayoiunga mkono ya chama chake
Link Profesa Shivji auonavyo uongozi wa Rais Magufuli | Gazeti la Jamhuri

Link2. Tanzanian police charge Jamii Forums founder - BBC News

Link3. Co-founder of Tanzania whistleblowing website charged
 
Back
Top Bottom