Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,286
Hapa tunajadili alicho kisema Shivji hatujadili personality ya mtu hapa.watanzania bwana yani sasa shivji ni mtu safi,Alivyo tugeuka kwenye katiba yetu
Pia nilivyomjibu huyo ndugu nililenga kuonyesha mtandao wa twitter unaweza kutumika tu kufika ujumbe. Hii haijalishi anayetoa ujumbe ni nani sawa wewe ndugu.
Usisome kwa mihemuko