Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

Umfukuze na daktari mmoja hapa chuon kwe2 anatusambazia virusi kama nini. Anaitwa dokta shabani ni malaya wakutupwa hapa muce.

Moderator,naomba iyo hapo uitoe,nisiione,coz naic huyo dokta hazini na ng'ombe,wanakubaliana wanafanya,na wanajuana ndo maana kuna ulalamishi! mbona hao malaya wengne haukuwataja kama ulivyomtaja Dr.?au umepigwa kibuti?WAKIMKATAA ATAITWAJE MALAYA?Cmutetei dr.ila waache kujipeleka tuone kama atakuwa malaya.We unadhani ni dr.peke yake hapo chuoni.WAPO WENG KWA TAARIFA YAKO
 
Natamani kuandika hoja za ufafanuzi,
lakini nimejawa kigugumizi,
kuhusu ukweli wa habari hizi,
Kama ni kweli na sio simulizi,
Basi kavaa ile ile (kwa kihaya "zesemu") hirizi,
Ya swahiba wake yule wetu mchizi.
 
Kweli watanzania wengi hatujabarikiwa umakini na udadisi. Vinginevyo si rahisi kunywa hii story kaka ilivyo.

Kwa kuanza, what is million nne kwa serikali au taasisi zaidi ya kununua rims za karatasi haitoshi hata toner ya printer 10 ije kuwa maslahi ya wafanyakazi

1. Are you serious.....hivi unajua hapo chuo palivyo na hiyo 4M inaweza kufanya kazi kubwa tuu????
2. Say we ndo waziri na hii issue unaijibia hivi....you mean na wakuu wengine wakamue kwa raha zao????Because haitoshi hata reams????

Kweli kazi tunayo
 
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi udsm jinsi wanavyolalamika na ukwasi uliopo hapo udsm kiasi kwamba wanafikiria kuacha kazi. Ukiangalia story nzima wanamlalamikia huyo jamaa, na kama ndio anafanya ufisadi wa namna hiyo basi hafai kuwepo hapo ili kukinusuru hicho chuo. mbona wakati wa luhanga mambo yalikuwa mazuri!!!.

hapo kwenye red, kama ni ukwasi maana yake pesa ipo ya kumwaga! nafikiri ulitaka kusema ukapa au ukata!
 
Soma kwa umakini Kintiku acha kukurupuka. Nimeeleza wazi kuwa huwa wanatengeneza magari yao kwenye kampuni yet(Garage). Nimesoma Mechanical Engineering pale. Kuwa Iringa ni kikazi hivyo haimaanishi kuwa Iringa siwezi kuwa fundi? au umezoea mafundi magari kazi yao ni garage tu na hawazunguki kutafuta tender wala kumfuata mteja (corporate customer) pale alipo? Kwenda Botswana inategemea nimeenda kufanya nini so uliza niko wapi nafanya nini au nimeenda wapi kufanya nini acha kujichanganya toa hoja. Pamoja na hayo acha kumdharau Baba wa watu mimi sistahili hata kufunga viatu vyake.

1. You are a lucky guy...........coincidencely meeting with the boss information mpaka ndege alotumia na namba za simu za kampuni aliyosafiria?????
2. Mara uko Iringa kikazi naye huyuuu na Nissan??????
3. Uende Botswana uanze kumzungumzia the boss??????

As the bos has just said phenomenon...........umeeleweka mkulu
 
Mami!! enzi za VC, Engineer chuo kilikua kiko pouwa!!!!!!!!

Wakati wa Prof.Luhanga akina mkandala na magwini wenzake walikuwa wanalalamika sana kuwa Luhanga anaharibu chuo hajui utawala anatumia mabavu,,Sasa time yao kutawala tunataka maendeleo zaidi ya aliyofanya Luhanga...VIVA ENGINEER PROF.LUHANGA
 
au enzi za Kaduma!!

Oh yeah..enzi hizo nazo zilikuwa poa kabisa.

Ila nimestaajabishwa na ujinga wa watu. Yaani hata uwape historia na kutoa vidhibiti bado wapo ambao hawaelewi.

Eti mtu anadiriki kusema katika historia ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam hakujawahi kuwa na makamu mkuu wa chuo aitwaye Nicholas Kuhanga......

Ujinga sijapata kuona.
 
Prof.Mukandala amerudi leo kutoka Iringa kwa ndege aliyoikodi.Gari zake zilitangulia UDSM jana.MPYA: Prof.Mukandala anatarajiwa kusafiri tena Jumatatu ijayo kwa ndege kwenda Bukoba kushiriki mazizishi ya mke wa Prof.Ishumi aliyefariki katikati ya juma hli.Kama ilivyo ada,gari zake zitatangulia Jumamosi zikiwa na wapishi,vyakula na Afisa Uhusiano wa Chuo.Mwenye masikio na asikie...
 
Prof.Mukandala amerudi leo kutoka Iringa kwa ndege aliyoikodi.Gari zake zilitangulia UDSM jana.MPYA: Prof.Mukandala anatarajiwa kusafiri tena Jumatatu ijayo kwa ndege kwenda Bukoba kushiriki mazizishi ya mke wa Prof.Ishumi aliyefariki katikati ya juma hli.Kama ilivyo ada,gari zake zitatangulia Jumamosi zikiwa na wapishi,vyakula na Afisa Uhusiano wa Chuo.Mwenye masikio na asikie...

Jamaa hawa walivyo wajanja atabandika namba feki kwenye gari kuondoa ile SU, unacheza na Nshomile nini...
Wapi Mabulangati na Agyeman kwa ajili ya kukanusha
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.

Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?
Mihaya ndivyo ilivyo inajiona sana.....
 
Back
Top Bottom