Ni kweli, lakini kuna tofauti ya mtu msomi na mtu mwenye elimu. Sidhani kama unajua hilo. Wapo waliosoma Udsm bado ni wasomi lakini hawana elimi. Naona pia unashikilia kauli ya jiwe kuwa wasomi wako pale, na ni kweli wasomi wapo pale ila wenye elimu wanahesabika pale. Jitoe tongotongo kuanzia sasa Kuna watu wakiwa Udsm walikuwa na elimu walipotoka hapo saa hizi ni kama wewe msomi tu, tena hao ni walimu wako. Punguza dhihaka kwa wenzio unaweza ingia haya MIT lakini ukatoka msomi lakini usiwe na elimu.
Hatuna cha kujivunia katika huu ulimwengu, sote tupo uchi hapa nenda kasome popote utabaki kuwa na title tu.
"Sio kila ukuta wenye rangi ni ukuta, nyingine ni milango ya siri ya kupita kwenda kwingineko."
Wenzako wamenunua vyeti hapohapo unapopasifia wewe.
Sent using
Jamii Forums mobile app