Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

Some of our leaders are very arrogant. The more we trail forward the more they reveal their true mediocrity. Huyu jamaa alikuwa na mpango wa kujenga fence kuzunguka chuo kizima anasahau wanafunzi hawana vyumba vya kusomea wala vitendea kazi. And yet is one of those prominent professors who can analyze some political data with his professorial eyes and amaze us vilaza! Tunashangaa kwaninini nchi yetu iko hivi?
 
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi udsm jinsi wanavyolalamika na ukwasi uliopo hapo udsm kiasi kwamba wanafikiria kuacha kazi. Ukiangalia story nzima wanamlalamikia huyo jamaa, na kama ndio anafanya ufisadi wa namna hiyo basi hafai kuwepo hapo ili kukinusuru hicho chuo. mbona wakati wa luhanga mambo yalikuwa mazuri!!!.
Ulimaanisha ukata? maana ukwasi ni kuwa na fedha ya kutosha
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.

Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?

Who cares?
 
Haaahaa! Jamaa nampenda kwa kujipenda na kufanya mazoezi karibu kila asubuhi....ila mambo mengine namshangaa sana. Toka akiwa REDET mpaka leo hii namshangaa sana huyu bwana mkubwa,lol!
unampenda dume mwenzio?
 
Mukandara ni fisadi fulani!hapa dar ana majumba ya kifahari masaki,mbezi beach,makongo,mikocheni
 
Wait a minute, assuming uliyondika hapa ni kweli, je hizo V8 zilitumwa zikiwa kwenye auto pilot mode?

Anamaanisha bila abiria!! umesahu taarifa zinazokuwa zinasema dereva na abiaria wawili wamejeruhiwa kwa maana hiyo dereva sio abiria wala sio mtu.
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.

Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?

wacha watu wafanye kazi punguza umbea na majungu JF
 
chukua "LIKE" mkuu NYANI

Shukrani Kyalow!

Inabidi watu tuanze kutoa masomo ya Historia humu. Baadi ya watu ukiwaambia kuwa Pius Msekwa aliwahi kuwa vice chancellor hapo UDSM watakubishia hadi machweo.
 
Sidhani kama mtu anayeitwa KUHANGA amewahi kuwa VC pale UDSM since 1961 chuo kilipoanzishwa. Hebu NN kaperuzi upya taratibu kwa ufasaha

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Mr. Nicholas Kuhanga[/TD]
[TD] Vice Chancellor[/TD]
[TD="width: 215"] 1980 - 1988[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Bonyeza hapa
 
Back
Top Bottom