Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

Kuna jamaa zangu wanafanya kazi udsm jinsi wanavyolalamika na ukwasi uliopo hapo udsm kiasi kwamba wanafikiria kuacha kazi. Ukiangalia story nzima wanamlalamikia huyo jamaa, na kama ndio anafanya ufisadi wa namna hiyo basi hafai kuwepo hapo ili kukinusuru hicho chuo. mbona wakati wa luhanga mambo yalikuwa mazuri!!!.

kiongozi Ukwasi ni utajiri (availability of resource/money) sasa neno lilivyotumika hapa inaonyesha kukosekana fedha si sahihi!!!napita tu
 
Kweli watanzania wengi hatujabarikiwa umakini na udadisi. Vinginevyo si rahisi kunywa hii story kaka ilivyo.

Kwa kuanza, what is million nne kwa serikali au taasisi zaidi ya kununua rims za karatasi haitoshi hata toner ya printer 10 ije kuwa maslahi ya wafanyakazi
Inalipa ada ya wanafunzi wawili! na isitoshe VX moja lingemtosha kwa bei ya mafuta yasiyozidi milioni moja!
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.

Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?

kachero wa usalama huyo tumuache ale nchi. Maana kila kitu kipo mkonom mwake!
 
Mabulangati;
Tafadhali soma hapo juu na ujibu pia, kwani inaonekana unauelewa sana kuhusu utendaji wa Prof. Mukandala.

Pia Yeye nikachero wa usalama! Ndio maana anatesa,kama unavyojuwa usalama akipata rungu! Mwisho
 
- Hiyo ndege ya mil 4 kwenda na kurudi iringa ni zile zinazopatikana sumbawanga au ni ndege hizihizi za kisasa.
- Na hizo v8 zina'auto pilot mechanism hadi zfke iringa with no body inside it.
By the way mkandala ni mhaya na kwa asili wahaya wanapenda sifa na matanuzi. Hivyo basi s¨ªsiti kusema prof mkandala ni janga pale udsm.
 
JF bana
Kama umekosana na boss wako au humpendi mtu we leta tuhuma za ufisadi dhidi yake, hata kama ni uongo atatukanwa tu.
Kila CEO (nssf, tra, ppf, nhc, etc) kawekwa tu, jk anayo mamlaka ya kuteua atakavyo na kwa sasa ndo kakabidhiwa mamlaka hayo na waTZ 61%. Kama hamtaki pasukeni huo ndo ukweli. Subirini 2015 mchague mwingine atakayekuwa anakuja jf kuwauliza maoni yenu ni yupi amchague.

Mnaoanzisha thread za kuwatuhumu watu kama si kweli hamtafanikiwa na mnapanda mbegu mbaya itawarudia tu. Kama hutaki akuongoze tafuta kazi sehemu nyingine siyo kumwanzishia tuhuma za uongo.
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.

Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?

Kwa mwenendo wa nchi yetu siyo jambo la kushangaza hata kidogo na yapo makubwa yanakuja nadhani hata wewe ukipata wadhifa chini ya hii serikali legelege utafanya na wewe ufisadi wako maana hakuna wa kukukemea
 
He should resign!! UDSM students youshould stage a strike. lakini mind nyie sio madaktari hamna athali zozote kwa taifa. Nyie

Madhara yapo japo kwa mpumbavu kama serikali hawezi kuiona, mfano awali UDSM ilikuwa 12 kwa vyuo vya africa na sasa niya thelathini na kitu je unafikiri pamoja na hiyo migomo kwenye ajira mtakubalika kama wale wa awali?
 
Ni kama enzi za mahita helkopta juu nisan na defender chini lakini sasa anatembelea vitara kweli ukikipata kutumie ukikosa juta saaaana
 
Haaahaa! Jamaa nampenda kwa kujipenda na kufanya mazoezi karibu kila asubuhi....ila mambo mengine namshangaa sana. Toka akiwa REDET mpaka leo hii namshangaa sana huyu bwana mkubwa,lol!

Mh! Unampenda nae atakupenda na alivyo na hizo hela zake za kifisadi sijui itakuwa je hapo
 
unampenda dume mwenzio?

Lazima uwe mswahili tu...kufikiria ngono toka unaamka mpaka unalala. Maisha yakiwa magumu, kumbukumbu za Nyerere zinaanza jinsi alivyokukosesha kwenye mtihani ukashindwa kufaulu
 
Umfukuze na daktari mmoja hapa chuon kwe2 anatusambazia virusi kama nini. Anaitwa dokta shabani ni malaya wakutupwa hapa muce.
 
Kweli tunaidhalilisha elimu ya chuo chetu kikuu.
 
Back
Top Bottom