Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?


J

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,358
Likes
4,782
Points
280
Age
38
J

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,358 4,782 280
Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?
1. Prof. William Anangisye
2. Prof. William Anangisye
3. Prof. William Anangisye
4. Prof. William Anangosye
5. Prof. William Anangisye

NB: Search Committee ilishafanya mchakato wa awali na majina kadhaa yamepatikana, la muhimu wanafunzi kupitia DARUSO watoe ushirikiano.
Kwa mujibu wa University Charter, Chancellor ndio anateua jina moja katika hayo yaliyoletwa kwake ili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo.
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,767
Likes
2,014
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,767 2,014 280
Prof. Benno Ndullu
 
Cargo

Cargo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Messages
551
Likes
183
Points
60
Cargo

Cargo

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2013
551 183 60
Huyo namba 9 ana roho mbaya kupitiliza ila sitashangaa akipewa! Na 2 ni muadilifu sanaaa akipewe nitaunga mkono hoja
 
A

andreakalima

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Messages
3,185
Likes
2,199
Points
280
A

andreakalima

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2012
3,185 2,199 280
kwa kutumia ramli ya asili inaonekana atatokea kanda maalum, mwanaume, jina lake la ukoo linaanza na "B" linaishia "A". Tusubiri jumapili, si mbali.
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,963
Likes
4,945
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,963 4,945 280
Watushirikishe alumns tuchangie mawazo kuhusu mwenye weledi wa kusogeza chuo chetu mbele. Haya mambo ya wanasiasa kutuchagulia viongozi wa taasisi nyeti kama UDSM yameshapitwa na wakati. Au watangaze kabisa watu washindane na atakayefaulu vigezo husika ndo ateuliwe na Rais.
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,033
Likes
918
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,033 918 280
lazima atokee idara ya uchumi
 
Junior. Cux

Junior. Cux

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
5,329
Likes
1,325
Points
280
Junior. Cux

Junior. Cux

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
5,329 1,325 280
Hivi Prof. Maboko bado yupo
 
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,499
Likes
5,721
Points
280
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,499 5,721 280
UDSM hakuna maproff waisilamu?
Tunaye muislamu Ibrahim lipumba sema haaminiki anaweza kupewa nafasi kesho nafsi ikaanza kumsuta akakiacha chuo kwenda Kigali kupumzika!
 
B

blessings

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Messages
5,747
Likes
3,465
Points
280
B

blessings

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2012
5,747 3,465 280
ni vema kupata damu changa zenye maono ya mbali. Prof. Mkumbo ama Prof. Anderson wanafaa zaidi.
 
mussa mashala jr

mussa mashala jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Messages
745
Likes
222
Points
60
Age
26
mussa mashala jr

mussa mashala jr

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2014
745 222 60
rais ndo final judges wa hayo majina,so keep on waiting bado tunayapitia!!
 

Forum statistics

Threads 1,249,902
Members 481,140
Posts 29,714,383