6. Kuhusu Ukwasi: Hapa siwezi semamengi ila najua UDSM wanategemea pesa toa serikalini mtumeni CAG akafanye kaziyake kama ukwasi unatokana na matumizi mabovu au la.
7. Matumizi mabaya ya fiedha: Mi ninavyomjua huyu bwana anajaribu sanakupunguza matumizi na nikipiga mahesabu ya kwenda Iringa kwa gari yaani: Muda,mafuta, tahadhari, na posho za wote na siku watakazo kuwa huko utagundua ni kwakiasi gani huyu bwana alivyoliona hilo na kushukuru kampuni ya Auric kupelekausafiri wa ndiege Iringa. Tafakari!
8. Mliman City wanakula: ukweli ni kwamba mwekezaji lazima anataka kula lakiniMradi huu hakuuanza Mukandala ujue, pia tangu ameingia madarakani lazima tufanyeutafiti kujua chuo hicho kinafaidikaje na mradi huo. Nilikutana na moja wawakurugenzi wa pale nilopokwenda Botswana last week wakasema VC wa sasa paleUDSM anawabana sana.
9. Chuo Kimeharibika: Ukweli ni kwamba anayejenga na kubomoa chuo ni wewe, mimina waliopo chuoni pale; wewe unaambia wanafunzi waandamane kupinga kituulichotunga kisicho na ukweli, unwatakia mema wanafunzi na chuo kwa ujumla?watasoma saa ngapi? watatafiti pumba na makande saa ngapi kama mnawajazaemotional greefs.
Wandugu nitaendelea kusema ukweli hata kwa kifo uongo, majungu na fitina kwangumwiko. Tuache makelele, tuongee; tuache siasa za chuki tujenge hoja tuibuemijadala ya kifikra na kimaendeleo; tuache uvivu wa kufikiri na kutenda,tufanye kazi kwa bidii.