Mukalunyoisa
Senior Member
- Mar 16, 2012
- 139
- 25
Jamani wala sishangai mie nilikutana na V8 yake iko na dereva tu inapelekwa kijijini kwajili ya mizunguko yake. Shughuli za kijiji zikiisha inarudishwa dsm. Umwinyi huu jamani??? devera haruhusiwi kutoa lift hata akute majeruhi barabarani atachafua ngali.