Ajibiwe? Kama alinusurika kwa kuliita bunge dhaifu unadhani angenusurika tena? Jamaa alikuwa jiwe kweliHuyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Ajibiwe? Kama alinusurika kwa kuliita bunge dhaifu unadhani angenusurika tena? Jamaa alikuwa jiwe kweliHuyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Kwani lini Assad alikuwa ndani ya ulingo wa siasa?Asad na type ya wanakosoa kila kitu cha mwendezake ni Njaa kali wanazo , huyu mzee inaonesha anataka kuridi kwenye regime ya mama tena kwa top position, Tunamshauri mama aendelee kumuacha nje ya ulingo wa kisiasa
Ndio huyu a llisema mradi wa sgr ni mzuri sana kupunguza tatzo la umeme leo mradi ni mbaya pesa za mqbeberu mbayasanaKama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
View attachment 1749044
View attachment 1749045
Hakuna alieruhusiwa kusema wakati wa uhai wake alitaka watu waseme akiondokaHuyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
At least tungeanzia hapo kwa kweli,bunge bila Heche,Sugu,Lema,Zito,Msigwa,Mnyika na mzee wetu wa Wee ulisikia wapi..pale hamna bunge
Akifanya vema kura zetu ni zake. Na ameshaanza kwa kututia matumaini.!Sawa nae akivunja bunge tukarudia uchaguzi itapendeza maana nae atavunja record kwa kuwa raisi mwezi mmoja.
Yeye ni raisi wa katiba, sio rais alochaguliwa na wananchi.
Wakati mnamshawishi avunje bunge mkumbushe na hili.
Hili nae analijuwa kuwa ikifika 2025 akapumzike tu maana hicho kimbembe hakiwezi bila nguvu ya jpm.
Awamu ya kwanza wakati taifa likitegemea kahawa na katani walitoa elimu bure hadi chuo kikuu na zaidi wanafunzi waligawiwa daftari na kalamu na nauli za kwenda shule za mbali zilitolewa na serikali. Katika vyuo licha ya elimu bure wanafunzi walilipwa fedha kwa ajili ya matumizi madogo madogo. Rudi usome yaliyofanywa huko nyuma. Usisifie usichokijua. Hiyo ni mifano michache tu nimekupatia kwa sasa.!!!Kama ana kisasi cha kufukuzwa kazi aseme tu, ukiachana na Ndege, bwawa la umeme, na sgr... Utawala wa Magufuli ulijenga zahanati na vituo vingi vya afya kuliko idadi ya vilivyokuepo toka tumepata uhuru. Magufuli alitoa elimu bure toka primary mpaka secondary, pia idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ilikua kubwa than ever before...
Assad atuambie utawala wa awamu ipi ulikua na dira anayoiona yeye? Hata kama wanatumwa hii ni too much hata sie tusiosoma tunaanza kushtuka.