Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

Asad na type ya wanakosoa kila kitu cha mwendezake ni Njaa kali wanazo , huyu mzee inaonesha anataka kuridi kwenye regime ya mama tena kwa top position, Tunamshauri mama aendelee kumuacha nje ya ulingo wa kisiasa
Kwani lini Assad alikuwa ndani ya ulingo wa siasa?
Kuwa mtumishi serikalini na kuwa mwanasiasa ni vitu viwili tofauti.
 
Km watu wa conection wanaweza inunua serikali sembuse vimedia hivi vya uchoroni ? wala magu hakua ni maraika kwamba hawezi ibiwa ndo mn kuna wkt aliongea wezi bado wapo tena ripot yenyewe ni late ndogo sn km milion 100 za wasafi nk je utalinganisha na mikataba ya iptl , dowan , richmond , meremeta nk? acheni kushabikia watu wenye visas vyao
 
Sawa nae akivunja bunge tukarudia uchaguzi itapendeza maana nae atavunja record kwa kuwa raisi mwezi mmoja.

Yeye ni raisi wa katiba, sio rais alochaguliwa na wananchi.
Wakati mnamshawishi avunje bunge mkumbushe na hili.
Hili nae analijuwa kuwa ikifika 2025 akapumzike tu maana hicho kimbembe hakiwezi bila nguvu ya jpm.
Akifanya vema kura zetu ni zake. Na ameshaanza kwa kututia matumaini.!
 
Kama ana kisasi cha kufukuzwa kazi aseme tu, ukiachana na Ndege, bwawa la umeme, na sgr... Utawala wa Magufuli ulijenga zahanati na vituo vingi vya afya kuliko idadi ya vilivyokuepo toka tumepata uhuru. Magufuli alitoa elimu bure toka primary mpaka secondary, pia idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ilikua kubwa than ever before...

Assad atuambie utawala wa awamu ipi ulikua na dira anayoiona yeye? Hata kama wanatumwa hii ni too much hata sie tusiosoma tunaanza kushtuka.
Awamu ya kwanza wakati taifa likitegemea kahawa na katani walitoa elimu bure hadi chuo kikuu na zaidi wanafunzi waligawiwa daftari na kalamu na nauli za kwenda shule za mbali zilitolewa na serikali. Katika vyuo licha ya elimu bure wanafunzi walilipwa fedha kwa ajili ya matumizi madogo madogo. Rudi usome yaliyofanywa huko nyuma. Usisifie usichokijua. Hiyo ni mifano michache tu nimekupatia kwa sasa.!!!
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom