Makaburu warejeshewe usukani wa utawala wa Afrika Kusini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Ingawa Afrika Kusini ni mojawapo ya nchi zilizoendelea duniani, inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa usalama. Mara kadhaa kumesharipotiwa na vyombo vya habari juu ya matukio ya kihalifu katika majiji makubwa kama Johannesburg, n.k.

Sina uhakika kama matatizo kama hayo yalikuwepo pia kipindi cha utawala wa Wazungu. Hisia zangu zinanishawishi kuamini kuwa hata kama changamoto za kiulinzi zilikuwepo, si kwa kiwango kama cha sasa.

Kwa kuwa hali ya mahali hutoa taswira ya aina ya uongozi uliopo, hakuna namna itakosekana kuuhusisha utawala wa sasa ambao kimsingi ni wa weusi, na hali hiyo. Pengine, utawala uliopo umeshindwa kukabiliana ipasavyo na hiyo changamoto.

Unafikiri, Makaburu wangerudishiwa usukani wa utawala wa South Africa kungeweza kuleta mabadiliko chanya kiuchumi, kisiasa na kiusalama?
 
Kabla sijakujibu swali lako labda nikuulize umezaliwa mwaka gani na hao makaburu umewajua tangu lini! Ukinijibu hili swali hapo ndipo nitaamua nikujibu au nikupuuze!
 
Mkuu, kwa ulimwengu huu wa utandawazi, unaweza ukawa na umri wa miaka kumi na tano lakini ukawa unafahamu kwa undani maisha ya watu walioishi miaka elfu mbili iliyopita kama vile ulikuwa ukiishi nao.

Makaburu ninewajua "majuzi" tu kupitia vitabu.

Kwani una mashaka na vitabu mkuu?
 
Ingawa Afrika Kusini ni mojawapo ya nchi zilizoendelea duniani, inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa usalama. Mara kadhaa kumesharipotiwa na vyombo vya habari juu ya matukio ya kihalifu katika majiji makubwa kama Johannesburg, n.k.

Sina uhakika kama matatizo kama hayo yalikuwepo pia kipindi cha utawala wa Wazungu. Hisia zangu zinanishawishi kuamini kuwa hata kama changamoto za kiulinzi zilikuwepo, si kwa kiwango kama cha sasa.

Kwa kuwa hali ya mahali hutoa taswira ya aina ya uongozi uliopo, hakuna namna itakosekana kuuhusisha utawala wa sasa ambao kimsingi ni wa weusi, na hali hiyo. Pengine, utawala uliopo umeshindwa kukabiliana ipasavyo na hiyo changamoto.

Unafikiri, Makaburu wangerudishiwa usukani wa utawala wa South Africa kungeweza kuleta mabadiliko chanya kiuchumi, kisiasa na kiusalama?
Ukiangalia wako hapo kiuchumi kutokana na hao makaburu. Ni sawa na akina sie, ukoloni umetufikisha hapa, na hatuwezi kufurukuta kujiendeleza, bado tunategemea kwa kiasi fulani wa nje waje tena kufanya mambo yetu yaende. Ngozi nyeusi tuna walakini.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Nini kinachowajwamisha Wazungu kushiriki kikamilifu kwenye uongozi wa Afrika Kusini? Wamesusa?
 
hata Sisi Tanganyika tuwarudishie utawaka wao ,hatutoi elimu bure,Afya , Germany and British please turn it
Wasirudi, lakini tunaweza kuingia nao ushirika wa kimaendeleo yenye lengo la kushirikishana uzoefu! Usije ukasema Tanzania hatuna cha kuwashrikisha Wazungu. Hakuna mtu asiyejua kitu.
 
Ingawa Afrika Kusini ni mojawapo ya nchi zilizoendelea duniani, inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa usalama. Mara kadhaa kumesharipotiwa na vyombo vya habari juu ya matukio ya kihalifu katika majiji makubwa kama Johannesburg, n.k.

Sina uhakika kama matatizo kama hayo yalikuwepo pia kipindi cha utawala wa Wazungu. Hisia zangu zinanishawishi kuamini kuwa hata kama changamoto za kiulinzi zilikuwepo, si kwa kiwango kama cha sasa.

Kwa kuwa hali ya mahali hutoa taswira ya aina ya uongozi uliopo, hakuna namna itakosekana kuuhusisha utawala wa sasa ambao kimsingi ni wa weusi, na hali hiyo. Pengine, utawala uliopo umeshindwa kukabiliana ipasavyo na hiyo changamoto.

Unafikiri, Makaburu wangerudishiwa usukani wa utawala wa South Africa kungeweza kuleta mabadiliko chanya kiuchumi, kisiasa na kiusalama?
Mwaka 2008 nilikuwa nafanya kaz katika garage fulani iliyopo Pretoria West (gezina)
Pale mmbongo nilikuwa peke yang, pia alikuwepo mganda mmoja, na warundi wawili.

Ilikuwa ni garage ya kuuza magari used, hivyo sisi kaz yetu ilikuwa ni kufanyia matengenezo (service) madogo madogo yale yanayopata hitilaf ndogo ndogo, kufuta futa vumbi, kuhamisha magari kutoka sehem 1 kwenda nyingine nk.

Pemben ya garage kulikuwa na shoprite kubwa na manager wa hiyo shoprite alikuwa mzungu ambae tulizoeana nae sana.

Siku 1 huyo manager akauliza sababu ya sisi kukimbia nchi zetu kuja SA? Kila mmoja akajitetea kwa namna alivyoona inafaa kumpa point ya yeye kuwepo hapa. Mimi nikajifanya nimekimbia fujo za ccm na cuf huko Zanzibar 😀😀 , mganda nae akajifanya alikuwa anapingana na utawala wa dikteta mu7, hivyo akatafutwa auwawe ndo akapata upenyo wa kukimbia 😀😀😀, warundi kama kawa wakajitetea vita vilivyokuwepo nchini kwao nk.

Basi yule mzungu alicheka sana, akasema hakuna hata mmoja alieonekana amekimbia tatizo la serious linalohusu uokozi wa maisha yake. Akasema inajulikana wazi kuwa nyinyi mmekimbia matatizo ya uchumi katika nchi zenu na sio vita au kumpinga dikteta nk.

Akasema hata leo tukifanya exchange ya nchi kwamba watu weusi waliopo katika nchi zetu waje katika nchi za weupe na weupe waende katika zile za weusi. Basi kwa kipindi cha miaka 5 tu au 10 nchi zile zilizoenda wazungu zitakuwa zimeshaendelea na kusababisha weusi wawafuate tena wazungu huku katika nchi walizozikimbia kwa kisingizio kile kile cha vita, kumpinga dikteta nk 🤣🤣🤣🤣

Japo alionekana kuongea kiutani lkn maneno yake yalitufikirisha sana na kuona kwamba hata hapa leo tupo kwa sababu wenyewe wapo, kama wasingekuwepo basi na sisi tusingekuwepo, huenda tungewafuata huko Ulaya🤣🤣🤣
 
Mzungu aliamua kuwapa za usoni live!
 
South Africa imetumbukia 'into chaos' kwa kupuuza sekta za huduma ndogo ndogo ambazo kimsingi ndizo zinaajiri watu wengi kama vile boda boda, mama lishe, ufundi, kilimo, kazi za ndani nk.
 
Back
Top Bottom