Prof. Tibaijuka: Zoezi la kuvunja Madanguro lina nia Njema lakini Mazoezi haya huko nyuma hayakufanikiwa, JIBU ni Wateja kuwawezesha kiuchumi Waoe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Mbunge wa zamani wa Muleba Prof Tibaijuka amesema Zoezi la kuvunja Madanguro lina nia Njema lakini Mazoezi haya huko nyuma hayakufanikiwa JIBU ni Wateja Wawezeshwe Ili Waoe

Wengi hawaoi kwa sababu kipato ni kidogo na hivyo Wanawake wanabaki kushindania Wanaume, amesisitiza Prof

Prof Tibaijuka ameandika kwenye Ukurasa wake wa X

Jumaa Mubarak 😀🔥
 
Bila ajira, ni ngumu kuvunja haya madanguro. Kuna wanaopata 20K-100K kwa siku alafu hawawezi wakakubali wafanye kazi kwa wahindi ya 5K na manyanyaso juu. Serikali ifikirie suala hili, wamekurupuka. Watengeneze mazingira wezeshi ya ajira na pia waweke kiwango cha mshahara ambayo sekta binafsi itawapa waajiriwa.
 
Mbunge wa zamani wa Muleba Prof Tibaijuka amesema Zoezi la kuvunja Madanguro lina nia Njema lakini Mazoezi haya huko nyuma hayakufanikiwa JIBU ni Wateja Wawezeshwe Ili Waoe

Wengi hawaoi kwa sababu kipato ni kidogo na hivyo Wanawake wanabaki kushindania Wanaume, amesisitiza Prof

Prof Tibaijuka ameandika kwenye Ukurasa wake wa X

Jumaa Mubarak 😀🔥
Na wateja wakubwa wanajulikana ni hao hao kijani njano
 
Kwanini inakuwa ngumu kueleweka??

Wanaonunua dada poa ni hawa;

1. Wanaume walioa lakini wananyimwa unyumba

2. Wameoa lakini wake zao hawamudu kufanya mapenzi muda mrefu yaani wanawake zao wanakojoa mapema na kuwaacha waume zao na nyege.

3. Wanaume wenye ugomvi na wake zao hivyo hawana hamu ya kusex na wake zao.

4. Wanaume wasioweza kuwa na mwanamke mmoja, yaani akiwa na wawili ndipo anajisikia sawa.

Hili ndilo kundi kubwa la wateja wa dada poa.

Wateja ambao hawajaoa siyo wengi ukilinganisha na hawa waliooa
 
Mbunge wa zamani wa Muleba Prof Tibaijuka amesema Zoezi la kuvunja Madanguro lina nia Njema lakini Mazoezi haya huko nyuma hayakufanikiwa JIBU ni Wateja Wawezeshwe Ili Waoe

Wengi hawaoi kwa sababu kipato ni kidogo na hivyo Wanawake wanabaki kushindania Wanaume, amesisitiza Prof

Prof Tibaijuka ameandika kwenye Ukurasa wake wa X

Jumaa Mubarak 😀🔥
Anna Tibaijuka ni mhaya au sivyo?
 
Anna Tibaijuka ni mhaya au sivyo?
IMG_5359.jpeg
 
Back
Top Bottom