Pesa kwa me au ke?Unataka kula bila kuliwa hilo haliwezekani ndugu.
Heshima Kwa "Single Mother" Wote Amani iwe Juu yenu.
Niliwahi kutoka na "Single Mother" Mmoja, Mwanzoni alikuwa mgumu sana,huku akisema Wanaume wote hamfai,Waongo sana.
Hivyo ni kama nilikuwa namfaata tembo alijeruhiwa,Nilijaribu kumuweka sawa Palikuwa na taabu,Muda mwingi anazungumzia Jamaa yake aliyemkacha na lawama kibao utadhani Mahakamani.
Mimi moja ya falsafa yangu siwekezi muda Mwingi na nguvu nyingi kuongelea historia ya nyuma,Tunagusa kidogo tena kwa idhini yako au udadisi wako na sio wangu,kisha tunasonga mbele kwa kasi.
Pesa ndogo ndogo wataiatia.
Penzi bila pesa karne hii usawa huu,Penzi litakwenda Mwendo wa Kobe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ugharamike wakati mna enjoy wote?
apple kivipi?kuna moja nilikuwa na date na alikuwa na 2 childs bac kila cku pesa nikawa nampiga calenda mpka kuna cku akanambia hiv ww kwa ubayili wako huu unapata Apple kweli nikacheka sanaaaa!!!hatari sana hao
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi una uzoefu nao?
Jipendekeze kwa mwanae tu vizawadi zawadi vidogodogo mara viguo na pipi pipiNipeni mbinu za kupata single mothers🤦♂️
Sent from my iPhone using JamiiForums
vipi virungu?
Wanaingilika kirahisi ila ukishapewa wana visa flan hiviWakuu nimekua niki date na single moms kadhaa mpaka sasa. Ni watamu balaa na mwanzoni atakunyenyekea na kuficha makucha, ila baada ya kuzoeana sasa vitimbi na mizinga inaanza kwa kasi ya ajabu!
Wengi ni pasua kichwa, atataka kila kitu umfanyie, umpende yeye na mwanae bila kutambua wewe ni mdhamini wa ligi kuu tu na waweza jiengua any time.
Nisiwe mnafiki kwa hili papuchi zao ziko mukidee ila mizinga tu ndo inayonishinda. Naona nafilisika.
Wenzangu mnao date na hawa watu mnatumia mbinu gani za kivita kulinda penzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipendekeze kwa mwanae tu vizawadi zawadi vidogodogo mara viguo na pipi pipi
Bado tunaendelea kuwapa heshima dada, mama, shangazi zetu wanaolea watoto kwa nguvu zao wenyewe. Sio kazi rahisi hata kidogo.Mmefukua kaburi!