Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 858
Kinachowapa jeuri ya kumsimanga ni ule uthibitisho (mimba)
Kama uzinzi mbona wengi wanafanya kila haijulikani?
Una udhuru gani wa kumsimanga mwenzio kwa kilekile unachofanya?
Tatizo hapo ni kuzini au kuzaa? Tatizo wanadamu tunaishi kwa kuogopa wanadamu wenzetu dhambi ikileta matokeo yanayoonekana ndio inaitwa dhambi mijitu inaanzisha kila siku thread za kuzini na kuhamasisha uzinzi mbona hamkemei?
Hata kanisani watu wanaamkia kwa mabwana zao wanaenda kuimba kwaya ila siku wakipata mimba wenyewe wanajisogeza nyuma hadi warudishwe kundini ndio wanaendelea na maisha ya kawaida ya kikristo....wakati huo mtu amekuwa akizini miaka nenda rudi ila kwa vile dhambi yake haijadhihirika mbele ya mwanadamu basi burudani tu.
Kiukweli kuna wanaume wanatuaibisha sana hasa humu jamii forum, nakolezea tu ukimchukia mtu usihangaike na wengine wamchukie, anayetaka kuoa acha akomar na hali yake
Jaman nishaurini nataka kuoa single maza .... msaada please
mtu kusema kuwa haoi single mother ni kosa??Nakwambia !!
Humu JF nimegumdua kuna vivulana vilivyotoka chuo.
Ajira hakuna as you know now days.
Sasa anaishi kwa shemeji akisubilia wali maharagwe
Siku shemeji akifurahi anampa Buku ya Vocha
Anachowaza ni kuanzisha thread ya Singo Maza Singo Maza Singo Maza.
So these kind of people cannot stop no matter how you try to educate them.
Muulize amelelwa na nani Atajibu Mama alikimbiwagwa na Baba kabla hata sijajifajamu akawa anatembeza mihogo mitaani nikasoma!
Laiti wangejua neno Single mother ni pana sana.
Na kama lengo kuhasa Single Mother why wasianzishe na threads za kuwalaumu Single father si ni sawa?.Na yeye hazini Na Kagirlfriend?kakipata mimba Na huku anaishi kwa Shem automatically Girlfriend wake atakuwa Single Maza .Atamkimbia huyo Dada ataamua kulea mtoto peke ake kwa kupambana.Hapa tena anakuja kumponda.What the hell is this shit!!
Vitoto hivyo havijielewi.
Tuvisamehe.
ni kuwakemea mpaka wajirekebishe, mwanamke kuzaa zaa kama mbwa haifai hata wazazi hawapendiHii ni sawa na kutuambia mwizi asisemwe kwa tabia yake ya wizi, muongo vivyo hivyo,muuaji kadhalika kitu ambacho siyo sawa lazima wasemwe ili hii tabia ya kuzaa nje ya ndoa ambayo kwa jina moja inaitwa uzinzi iishe kabisa kwa hiyo usizuie watu kukemea maovu
akikujibu unitagwao wenyewe wamekwambia hawapendi wanachofanyiwa?
Na kama umeanzisha uzi huu kisa haupendi wakisemwa kwa nini na sisi tusianzishe uzi kwa tusichokipenda ambacho ni nyie singo maza?
kiukweli kuoa single mother ni kuvaa bomu na kujitoa muhanga, complications nyingi sana,hata wazazi hawapendi watoto wao waoe single mothersSingle mothers hawana tatizo kabisa. tatizo linakuja akishaolewa na mwanaume ambae hajazaa nae:
1. anaweza akaingia ndoani kwa interest za kumtafutia mtoto maisha bora, na upendo wake juu yako ukawa ni wa kuchovyachovya tu.
2. baba wa kambo hawezi kumuadhibu mtoto wa kambo, na akimuadhibu anaonekana kama mnyanyasaji.
na baba original wa mtoto akitaarifiwa mtoto wake anachapwa anaweza akachukua hatua kali dhidi ya baba wa kambo ingawa hata angekua yeye angeweza kumpiga mtoto wake na mtoto angemezea tu.
3. mtoto wa kambo kama ni mkubwa anaweza akaleta complications kwenye ndoa. na hapo mamaake lazima atasimama upande wake.
4. baba original wa mtoto anaweza akaiathiri ndoa ikaonekana chungu. Mawasiliano ya mara kwa mara, text za usiku na simu za hapa na pale zinaweza zikamuathiri kisaikolojia baba wa kambo.
5. kuonana mara kwa mara kwa baba original wa mtoto na mzazi mwenzake kunaweza kuamsha hisia za zamani na wakajikuta wanafanya uzinzi, kupelekea single mother kuisaliti ndoa.
sometimes kuoa single mother ni sawa na kwenda kuchota petroli iliomwagika. akitokea mvuta sigara tu HASTA LA VISTA.
si kweli,mtafute single mother yoyote muulize mlikubaliana mzae?? angalia jibu atakalokupaSingle mother 70% nizao la wanaume wazembe,wavivu,waoga,wanapenda sana NGONO lakini wanaogopa MAJUKUMU.
30% ni wao wenyewe wanawake wanajitakia.
Kwa kifupi tatizo la single mother linatokana na kizazi cha vijana wakiume wasiopenda kuwajibika,lakini ni mabingwa wa kufanya ngono.
kama hakukubaliana na mwanamke wazae,ana haki ya kukataaNdo uone ufinyu wa akili zetu sasa..
Na unakuta mwanaume anaesimanga nae kuna mimba kaikataa
Kwani mwenye uwezo wa kucontrol uzazi ni mwanamke peke yake?si kweli,mtafute single mother yoyote muulize mlikubaliana mzae?? angalia jibu atakalokupa
point ni kwamba hakuna makubalianoKwani mwenye uwezo wa kucontrol uzazi ni mwanamke peke yake?
Wewe unayeingia pale kwa gear ya kupiga ww ndiye unatakiwa kuwa controller.
Hamjakubaliana kuzaa sawa,alafu ww unafanya ngono bila condom,manake si uko tayari kuwajibika na kitendo kile ulichokifanya.
Makubaliano unajua manake?point ni kwamba hakuna makubaliano
toa maana yakeMakubaliano unajua manake?
Kwa hiyo ww umeongea kitu ambacho hujui maana yake?toa maana yake
point ni kwamba hakuna makubaliano