TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
Aseeee ingekuwa ivoo hawa watu wasingeolewa ujue...Pamoja na yote lakini kuoa mwanamke ambaye ameshazalishwa inatakiwa Uwe jasiri sana!!....
Iko hivi
Wanaume tumeumbwa na kitu kinaitwa PRIDE....unapokuwa na mwanamke ambaye yuko kwenye himaya yako.....lakini kitendo cha wewe kujua kuwa huyu mwanamke alishalala na mwanaume mwengine mpaka kuzalishwa huku ukiwa unamuona mtoto....inakufanya ujione kama vile huna mamlaka kamili juu ya huyo mwanamke!!!.....
Ni kitu ambacho kitakutafuna mpaka unaingia kaburini......hii ni vita yako na nafsi yako.....ndio maana wazazi wengi na ndugu wa karibu huwa hawapendi kuona kijana wao wa kiume hasa ndoa yake ya kwanza akioa mwanamke ambaye tayari ana mtoto!!...wanajua baada ya mihemko na hisia za kimapenzi utakumbana na vita vikuu ndani ya nafsi yako!!!!....
Wanaume wengi wa ndoa za aina hii huwa wanaangukia kuwa walevi sana....au kuwa na wanawake wengi wa nje!!!!.....
Words is enough for the wise
Hayo maswali siwezi jiuliza siwezi badili mda na matokeo napambana na nilichokikutaaHizo sifa zifanye kuwa maswali ujijibu mwenyewe
1. Asingekuwa amezaa angekupenda kama ilivyo sasa au kacheza na fursa?
2. Anavojibidua kwenye ngono sasa hivi, angekuwa hajazaa bado nyonyo imesimama angekubidulia?
3. Mawazo anayokupa sasa hiv unayaona productive na unafanikiwa kweli, ingekuwa kipind hana mtoto angekupa uyafanyie kazi ama ni yeye anajiweka safe side zaidi kiuchumi?
4. Sikufundishi namna ya kuishi na mpenzio ila nikushauri tu, Usijimwage hivyo ukijiaminisha kuwa dunia ya mapenzi imeishia hapo.
OkaYNilikuwa nae single mamaa,wakiwa wanatafuta pakupumulia wanakuwa hivyo,yupo tayarikwalolote,ila wameficha makucha,Najupa pole kijana
Kazi mnafanya saa ngapiBhana mdogo wenu ndio nimejikuta nimezama huko napata mapenzi 24/7 sijutii kuwa na huyu mwanamke kama wengi wenu mnavo wazungumzia......
AseeeeDah! Maskini wee tayar tushakupoteza
Hakuna mda maalumKazi mnafanya saa ngapi
24/7 maana yake muda wote kwa wiki. Au mi uelewa wangu mdogo unaposema 24/7Hakuna mda maalum
Shunie unakuwaga positive hadi raha....Wanaume wenzako watakuponda mkuu kuhusu ulivyozama kwa single mother jilie mema ya nchi mkuu maisha yenyewe mafupi haya
Ukipendwaa pendeka
Asante mkuu wanguShunie unakuwaga positive hadi raha....
Comments zikifika mwisho umalizie tena na comment hii ili awe anaisoma na kuikumbuka kila mara pengine ataelewa.Pamoja na yote lakini kuoa mwanamke ambaye ameshazalishwa inatakiwa Uwe jasiri sana!!....
Iko hivi
Wanaume tumeumbwa na kitu kinaitwa PRIDE....unapokuwa na mwanamke ambaye yuko kwenye himaya yako.....lakini kitendo cha wewe kujua kuwa huyu mwanamke alishalala na mwanaume mwengine mpaka kuzalishwa huku ukiwa unamuona mtoto....inakufanya ujione kama vile huna mamlaka kamili juu ya huyo mwanamke!!!.....
Ni kitu ambacho kitakutafuna mpaka unaingia kaburini......hii ni vita yako na nafsi yako.....ndio maana wazazi wengi na ndugu wa karibu huwa hawapendi kuona kijana wao wa kiume hasa ndoa yake ya kwanza akioa mwanamke ambaye tayari ana mtoto!!...wanajua baada ya mihemko na hisia za kimapenzi utakumbana na vita vikuu ndani ya nafsi yako!!!!....
Wanaume wengi wa ndoa za aina hii huwa wanaangukia kuwa walevi sana....au kuwa na wanawake wengi wa nje!!!!.....
Words is enough for the wise
Wewe utamuweza Wick, ukiona anafanya hivyo ujue ana mikakati mizitoAfadhali useme wewe mkuu ..mimi huwa siaminiwi
Aisee .. kumbe alikuwa busy akifaidi mema ya nchi hukoWewe utamuweza Wick, ukiona anafanya hivyo ujue ana mikakati mizito
Wanajituma kweli kweli....wanajiona hawana jipya tenaMwanamke akishazalishwa anakua anajituma Sana kwenye mapenzi. Sijui hata kwa Nini.
Ndo hapo sasa...mwanamke mzuri kwaninu akimbiwe, huo ni mfupa uliomshinda fisi...Hakuna mke mzuri ataachwa hivihivi, umkute yupoyupo tuuh..! Jipe muda utajua kilichomsibu mwanaume mwenzio akatimua mbio..!