Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki.

Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ?

Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi ya katiba ya nchi.

Sasa hivi hawaficho wanakuuwa kituoni hapo hapo lazima wahusika watawajibishwa vikali.
 
Screenshot_20260110-123957~2.png
 
Huyo dingi ndo basi tena
km yule dogo chaula alipotea mpaka leo hajulikani yu hai au amekufa

Dah policeccm ni wangese sana.
 
Humphrey Pole Pole YUKO WAPI?!
TUMECHOKA, TUMEKASIRIKA, HAYA MAMBO LAZIMA YAACHWE KAMA KWELI MARIDHIANO YATAFANYIKA...
 
Hizi ndio mambo zilizomtoa Simvachawene ofisini.

Taarifa njema ni kwamba ukiona maovu yalikuwa yanafanyika gizani yanaanza kufanyika hadharani jua anguko linakaribia.
 
Back
Top Bottom