Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
Tukiwa katika majonzi ya kuuzwa kwa bandari na mimi naongeza majonzi
TRA wakati umefika sasa tuache kutoka "plate number" za magari "lifetime period" tutoe plate number kwa Mwaka mtu anarenew baada ya mwaka kwa kulipia kiwango fulani cha pesa
Faida; Mtapunguza sana wizi wa magari kwasababu hakuna mtu anaweza kusajili/kuilipia bila kua yake, maana wakati wa kulipia aweke
1. Namba ya NIDA
2. CONFIRMATION MESEJI KWAMBA
FULANI BIN FULANI UMELIPIA PLATE NAMBA FULANI (sasa hapa kama mtu ameiba gari hawezi kubadili plate Number(KUSAJILI MARA MBILI)
3. MAPATO
Chukulia Tshs 30,000 kwa mwaka, mara magari 1,000,000= Tshs 30,000,000,000 bila jasho zinaingia kila mwaka
TUWE WAZALENDO HATA KAMA TUMEUZWA.
NAONGEZEA
PLATE NAMBA INAANDIKWA KABISA INAEXPIRE LINI
DEC 2023 (hapa mtu hawezi endesha gari JAN 2024) anakutana na Trafiki anapigwa fine
TUPENDE NCHI YETU, TUJENGE NCHI YETU