Tulipigania UHURU toka kwa wakoloni kutuwezesha Kupata chama Kimoja cha SIASA madarakani ...!Sasa vyama vya Kisiasa baada ya UHURU WA MKOLONI vinapigana na WANANCHI wake ili kupata NINI?
Poor US!!!
poor yourself
Tulipigania UHURU toka kwa wakoloni kutuwezesha Kupata chama Kimoja cha SIASA madarakani ...!Sasa vyama vya Kisiasa baada ya UHURU WA MKOLONI vinapigana na WANANCHI wake ili kupata NINI?
Poor US!!!
Halafu hawa jamaa washagongeshwa moshi mkubwa...cheki jicho...Hapo mwigu akiwapa amri ya kufanya yale matukio yao hawarudi nyuma.Si ndo nashangaa pamoja na kuwepo kwa muda wote huo serikali haijawahi kuchukua hatua.
![]()
Unamaanisha chipukizi kama hawa?
![]()
mkuu hii si tanzania... naona wadau washadakia ni CCM , hebu angalia hizo kofia CCM ilitakiwa kuwe na lable hii
![]()
Siwezijua maana zipo za aina nyingi.
Unaweza kusema kuwa na huyu nae siyo Mtanzania?
Maana kofia yake haina hiyo label ya jembe na nyundo.
![]()
mkuu hii si tanzania... naona wadau washadakia ni CCM , hebu angalia hizo kofia CCM ilitakiwa kuwe na lable hii
![]()
hi vi yale ya m23 si yalianza hivi hivi??
ukweli sioni sbabu ya chama cha siasa kuwa na kikundi chake cha ulinzi. kwani kinamlinda nani dhidi ya nani?? honestly haya yanatakiwa yapigwe marufuku na wananchi weyewe vinginevyo wananchi tutajikuta tunapigana ilihali hao wenye hao mgambo kila mmoja akakimbilia mafichoni na familia zao.
natangaza rasmi kujitoa kwenye siasa kwasasa
yaani mm iwe ni hiyo green guard iwe ni hiyo red ama hiyo blue kwangu mm haa haya ni makosa na kwakua kosa haisahihishi kwa kosa basi sisi wananchi tusema kabisaa kwamba tumechoshwa na haya mambo na sasa tunataka mabadiliko. nakwambia ndugu yangu mwisho wa siku ni mm na wewe tutakao umia ila hawa viogozi wetu hutamkuta hata ndugu yake akiwa ni miongoni mwa watakao umia.dada upo sahihi lakini swali la kujiuliza ni,kwanini jeshi la polisi pamoja na serekali haikukemea green guard mapema,kwanini chadema ilipotoa ushahidi wakutosha kwamba kuna kambi za green guard zilizoanzishwa tena wanapewa mafunzo yakijeshi kuuwa,kupiga,na pia kwanini polisi haikuufanyia ule ushahidi wa silaha ambayo chadema iliuvumbua dhidi ya green guard..?polisi kutokuufanyia kazi wala kukemea inaonesha kwamba waliona uwepo wa vikudi hivyo ni sawa...sasa iweje leo chadema watake kuanzisha vikundi vyao vya kujilinda iwe kesi..?.jeshi la polisi ndio lakulaumiwa hapa
kunya anye bata akinya kuku kaarisha
shame to you ccm and polisi
![]()
[video=youtube_share;aQQdjIon93U]http://youtu.be/aQQdjIon93U[/video]
yaani mm iwe ni hiyo green guard iwe ni hiyo red ama hiyo blue kwangu mm haa haya ni makosa na kwakua kosa haisahihishi kwa kosa basi sisi wananchi tusema kabisaa kwamba tumechoshwa na haya mambo na sasa tunataka mabadiliko. nakwambia ndugu yangu mwisho wa siku ni mm na wewe tutakao umia ila hawa viogozi wetu hutamkuta hata ndugu yake akiwa ni miongoni mwa watakao umia.
Hii watakanusha na kusema ni waasi wa Congo
nimekuwa nikiona ccm wakitumia symbol hii
![]()
hizo kofia hao watoto sijawahi ona CCM wakitumia symbol hiyo kama utambulisho wao