50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,139
- 4,117
Iliwahi kuvumishwa kuwa Kikwete anashauriwa vibaya, halafu washauri wake wakalaumiwa sana. Sasa alipokurupuka kuilalamikia chadema ati isithubutu kuanzisha Red Brigade napo alishauriwa vibaya ama ni mwendelezo wa majanga!
hapa ni sawa na wachawi kugongana uso kwa uso kwenye safari zao.
inabidi tukubali kuwa siasa za CCM ni cha mtoto kwa siasa za CHADEMA...chadema noma1
hapa ni sawa na wachawi kugongana uso kwa uso kwenye safari zao.
inabidi tukubali kuwa siasa za CCM ni cha mtoto kwa siasa za CHADEMA...chadema noma1