Amani ya nchi hii itapatikana pale blue guard na redbrigade watakapojipanga na kuwa na nguvu kama za greenguard .Niliandika juu ya hivi vikundi kwamba blue guard wasikubali kuvunja kikundi chao ,Redbrigade nao wasivunje kikundi chao maana uonevu utatamalaki.
Ili amani ipatikane lazima pawe na kuheshimiana na kuogopana .Angalia hicho cheti cha kuhitimu wamefundishwa mahusiano na vyombo vya ulinzi na usalama na wamefundishwa ulinzi na usalama hilo ni jeshi.
Ungeweka vyeti vya makundi yote matatu ili tuone mafunzo yao ni yapi kama ilivyo kwa CCM. Ila hicho cheti cha CCM kinaonesha mafunzo yao ni kuleta vurugu, na pia ukute wengi wa wahitimu wao wanapata ajira jeshi la polisi na JWTZ!!!

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.