Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,765
- 2,878
Waziri Mkuu na mbunge wa Ruangwa ameeleza kuwa amekoshwa na mwamko wa vijana wa UVCCM (green guard) Ruangwa hali iliyopelekea akataka kutokwa na machozi mara baada ya kuona gwaride la vijana hao. Majaliwa amewapongeza vijana hao kwa mwamko huo. Ameyasema hayo Ameyasema hayo Mei 03, 2025 wakati akizungumza katika kikao kilichojumuisha wajumbe wa mabaraza ya jumuia za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa