Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

hayo sio mafunzo ya kijeshi?.CCM imekamatwa pabaya safari hii.CDM makini kweli kweli.hivi ukipeleka mahakani hii hakimu atasemaje?.tuwe smart hayo ni mafunzo ya kijeshi.ccm imepata degedege la ajabu kweli.maana wanashindwa kujua kama haya ni mafunzo ya kijeshi wanawapa hawa chipukizi wa ccm?
 
Hiyo picha hao watoto sio wa ccm ni watoto wa congo acheni kupotosha angalia hata kofia hazina nembo ya ccm

Wewe unaangalia kofia! Kwahiyo kwa vile kofia anayovaa Mwigulu haina nembo ya CCM inamaana Mwigulu sio mwanaCCM?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
attachment.php

Wasivyo na aibu watakuambia hawa ni chipukizi, shenzi chipukizi ana ndevu mpaka mkuduni, nilicheza chipukizi enzi za Mwalimu tulikuwa watoto wadogo, kuna baadhi yetu tulifundishwa hadi kutumia bunduki na wanajeshi toka kambi ya fort ikoma, tulipiga show ya ukweli sikumbuki ilikuwa ni maadhimisho ya uhuru au kuzaliwa kwa CCM. Sijui kama jeshi limeacha kwenda kufundisha hawa mgambo wa CCM kutumia silaha kama tulivyofundishwa sisi tukiwa watoto wadogo miaka ya 83/85
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hiyo picha hao watoto sio wa ccm ni watoto wa congo acheni kupotosha angalia hata kofia hazina nembo ya ccm
njiwa nae kasema hivyo na kuletewa na Dotworld picha nyingine yenye kofia iliyo na nembo hiyo hiyo na hakurudi tena kwenye hii thread. Angalia hiyo picha hapo chini kutoka Morogoro. Hizo nembo hazifanani?

Wewe njiwa vipi? ... Sasa unataka kubisha nini? .. Kwani nembo zao huzijui? .... ... haya angalia na fananisha Nembo za Kofia hizi hapa chini.

chipukizi.JPG

KATIBU wa Siasa na Uenezi wa mkoa wa Morogoro (TANZANIA), Kulwa Milonge, akimpongeza Gabriel Amos baada ya kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa katika uchaguzi uliofanyika juzi, Chuo cha Ualimu Morogoro. Gabriel ni mtoto wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Uchumi na Fedha, Amos Makalla. (Picha na Latifa Ganzel).

Pia angalia kofia anayovaa Mwigulu Njemba siku hizi ina nembo ya CCM ya jembe na nyundo?

Probably, atakuwa raia wa Cuba huyu?



mwigulu-nchemba11.jpg
 
heti tunafyatua matofali, au matofali yanafyatuliwa na magobole!!!!!!

Mpaka watoto wadogo wanafyatua matofali?

Hii sasa si itakuwa ni child labour?
 
Sasa magamba wanaweweseka nini wakati waasisi wa ulinzi huu ni wao.
 
Mpaka watoto wadogo wanafyatua matofali?

Hii sasa si itakuwa ni child labour?

Mkuu ndio maana watoto kila siku matokeo zero nyingi kuliko hata four, watoto wanakuwa majambazi wakiwa katika umri mdogo yote haya yanaletwa na chama mfu CCM.
 
Mmenichekesha knyama asee!

Hii kitu siyo ya kuchekesha.

Siku hizi guards na brigades zikibackfire hata kicheko cha kulazimisha hutakipata.
 
Kutishiana kwenye vyombo vya habari ni mwendelezo wa ukosefu wa akili... Hivi kulikuwa na shida gani jeshi la polisi kuviita vyama vyote wakajadili na kutoka na uamuzi mmoja kwa manufaa ya umma?...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hakika green guard ni mfull mafunzo ya kijeshi na aje mtu akanushe hapa aniambie ni nani wanafundishwa kutumia KITALA? na je kama wana m-salute amiri jeshi mkuu hapo maana yake ni nini?mwangalie kanali mstaafu Kinana nae alibana mikono kama ishara ya kupokea salamu aliyopewa na hao green guard,hilo si jeshi jamani,no way hapa ama ifutwe green guard au tuiimarishe red brigade,hakika tutaiimarisha kweli na wala sio masihara,kama mnadhani tunatania basi subirini muone,tutawafundisha kuanzia kuruka vikwazo,route match,cross country,watakula ubwabwa,watabeba dunia,tutawafundisha UP,MK,na Mengine yote mnayoyajua na mnayowafundisha Green guard,ila tutalazimika kuwafundisha beyond your daily training.ili mjue kweli tumechoka kweli kunyanyashwa.
 
Hata moyo mgumu watakwenda,Advance to contact nayo watafanya,yaani ni full ukakamavu kweli,na ikilazimika hata 130 mm ama 122 mm au scorpion nazo watajifunza tu,maana kwa mbinu na akili anayokuja nayo huyo mtu wenu anaejiita Mwigulu sasa naona imetosha.
Kamanda Mbowe na viongozi wengine waandamizi pamoja na kamati kuu yote nawapongeza kwa kuja na azimio hilo naomba utekelezaji uanze haraka watu wako tayari.
 
Serikali ukiwapa wapumbavu kuiongoza tegemea kuvuna upumbavu kama huu,

Ngoja na sisi tuanzishe GESI GUARD,KAMA KAULI YA KUTUPIGA ISHATOLEWA KWANIN NASISI TUSIJIHAMI...
 
Aisee kumbe JF ina masoja kibao mbinu zote za kijeshi laivuu ila msiwafundishe kupora ubwabwa
 
Mkuu EMT Sasa ccm watokeje jamani? propaganda zote chafu zimekwisha saivi inamalizikia ya Ugaidi, sasa hivi watemegeshewa mtego wa kujilinda wamenasa kuanzia Jk na wengineo.Shame..!!!JK wasaidizi wako wanakuharibia /kupotosha. Walifikiri wenzao wanatumia mabomu kama wao kumbe ni akili tu.. Tuseme nini tena? ccm wamebaki kuhubiri chuki mioyoni mwao huku midomoni mwao wakirubuni kwa ngonjera za amani. Amani nchi hii(kama) itavurugwa na Jeshi la polisi na Viongozi wa Serikali. Lakini waTZ tukumbuke kuwa hakuna mtawala yeyote ktk Dunia hii anayependa kuachia madaraka kirahisi. Kama ccm wanajiamini wakubali tume huru ya uchaguzi mwaka2015 nanyi waTZ mtakuwa mashahidi.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom