Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Blue guard wa CUF hao

images
hi ya CUF ni Noma -- NINJAS
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hi vi yale ya m23 si yalianza hivi hivi??

ukweli sioni sbabu ya chama cha siasa kuwa na kikundi chake cha ulinzi. kwani kinamlinda nani dhidi ya nani?? honestly haya yanatakiwa yapigwe marufuku na wananchi weyewe vinginevyo wananchi tutajikuta tunapigana ilihali hao wenye hao mgambo kila mmoja akakimbilia mafichoni na familia zao.

natangaza rasmi kujitoa kwenye siasa kwasasa
...Mkuu red ya kwanza: -ni kwa ajili ya kujilinda dhidi ya polisi wanaporusha mabomu yao ya mkono kwenye mikutano ya CDM.
Red ya pili - Mkuu hivi siasa ni nini? mi nadhani kuna njia moja tu ya kujitoa kwenye siasa nayo ni kifo.- hebu nitajie kitu kimoja ambacho unakifanya ukiwa hai kisichoguswa na siasa.
 
Mkulu Kauli aliyoitoa na ushahidi wa picha hizi viaashilia viongozi wa nchi hii nijanga. Hatuko salama kabisa
 
We have witnessed dozens of views from especially ant-opposition individuals against RED BRIGADE unit of CHADEMA. I really do not understand whether there is any seriousness in these views or just political prejudice. Is the problem red brigade or all green blue red blood nonsense defense units founded by the ruling party? Is true that Green or Blue guards are profitable to our nation except red brigade? Think big please!
 
Even in weddings we do have "security" committees....don't ask me why....but you can even call them "brigades" if you want according to webster definition of a brigade:

1.a. A military unit consisting of a variable number of combat battalions or regiments.
b. A U.S. Army administrative and tactical unit composed of a headquarters unit, at least one unit of infantry or armor or both, and designated support units. A brigade can be commanded by a brigadier general or by a colonel.

2. A group of persons organized for a specific purpose:
 
There is absolutely no reason for us to think anymore, the decision has been made by the authority, we the people trust the authority. We say no to Red Brigade!
 
Siwezijua maana zipo za aina nyingi.

Unaweza kusema kuwa na huyu nae siyo Mtanzania?

Maana kofia yake haina hiyo label ya jembe na nyundo.

mwigulu-nchemba11.jpg

Hili jamaa hua linaniudhi saana basi tu.Lishirikina mno.
 
Jk ajisachi kwanza kabla ya kutoa laana. Na kwa hakika laana itamrudia
 
Ndio maana nilishangazwa na yale matamko ya polisi na amiri wao.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
There is absolutely no reason for us to think anymore, the decision has been made by the authority, we the people trust the authority. We say no to Red Brigade!
Kwa kanuni hiyohiyo wananchi wanasema NO GREEEN GUARDS!

Sheria ni msumeno, hukata kote kote
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nguvu ni ile inayobaki baada ya kuweza kusitahimili kuubeba mwili wako, vinginevyo ni hawana tena nguvu-stori za chemical Ally na Saadam Hussein tu.
 
NImeona picha ya Blue guards kwenye gazeti la Mwananchi ................ wanapiga gwaride kama chipukizi wa CCM ...... halafu ni mijaa mikubwa tu. Kweli hii issue CCM wanajaribu kuipoliticise tu wakati wanajua wao ndiyi waanzilishi na wengine wanaiga tu!!
 
Si ndo nashangaa pamoja na kuwepo kwa muda wote huo serikali haijawahi kuchukua hatua.

attachment.php
Baada ya kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali. Wako tayari kwenda kuyatumia kwa kuteka na kuumiza.
 
Kila siku nasema polos hawatumii akili na utashi wao kutoa maamuzi wanatumia mawazo na akili za wati wengine tena za vilaza. Hawa jama wa cdm hukaa chini na kugikilia nini matokeo ya uamuzi wao
 
Back
Top Bottom