Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

hivi chadema nao wangesema wanaanzisha mafunzo ya chipukizi...ccm na polisi yao wangepiga kelele au ni kwa kuwa wamesema tu walinzi wa chama na viongozi wake na kusisitiza ukakamavu?
 
Hii watakanusha na kusema ni waasi wa Congo

Kuna hawa hapa kwenye picha, tisheti zao zimeandikwa umoja wa vijana CCM.

Lakini ukiwaangalia kweli hawa ni vijana au ni watoto?

Or could this be a "Green Guard" in the making?

2.jpg
 
"Red Brigade" in the making?

attachment.php
 
Huu utaratibu umekuwa ukitumiwa na CCM kama mtego wa kuzinasa akili za Watanzania tokea wakiwa wadogo waamini CCM ni chama cha Ukombozi wa Mtanzania(Mtanganyika)...

Sasa ukiwa mtoto na "ukanywa maji ya bendera", hakuna lugha utayoelewa ukiletewa "mahubiri" ya vymama vingine na mtizamo tofauti na ule wa "zidumu fikra za Mwenyekiti"...

Kuna hawa hapa kwenye picha, tisheti zao zimeandikwa umoja wa vijana CCM.

Lakini ukiwaangalia kweli hawa ni vijana au ni watoto?

Or could this be a "Green Guard" in the making?

2.jpg
 
Unamaanisha chipukizi kama hawa?

attachment.php


mkuu hii si tanzania... naona wadau washadakia ni CCM , hebu angalia hizo kofia CCM ilitakiwa kuwe na lable hii



images
 
attachment.php
 

Attachments

  • B.-Nape-akizindua-shina-la-wajasiriamali-watengeneza-fenicha-Katoro-Geita.jpg
    B.-Nape-akizindua-shina-la-wajasiriamali-watengeneza-fenicha-Katoro-Geita.jpg
    93.9 KB · Views: 1,371
Huyo hapo nyuma ya Dr. Slaa ni Red Brigade?

attachment.php
 
Back
Top Bottom