Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Si ndo nashangaa pamoja na kuwepo kwa muda wote huo serikali haijawahi kuchukua hatua.

attachment.php

Hawa wapo katika mafunzo ya ujasilia mali wakijifunza namna ya kutengeneza sabuni, dawa za chooni, batiki nk. Hongera sana CCM!
 
njiwa nae kasema hivyo na kuletewa na Dotworld picha nyingine yenye kofia iliyo na nembo hiyo hiyo na hakurudi tena kwenye hii thread. Angalia hiyo picha hapo chini kutoka Morogoro. Hizo nembo hazifanani?



Pia angalia kofia anayovaa Mwigulu Njemba siku hizi ina nembo ya CCM ya jembe na nyundo?

Probably, atakuwa raia wa Cuba huyu?



mwigulu-nchemba11.jpg


hahahaha ati sikurudi tena, mwezi mtukufu huu i have better things to do siwezi kushinda JF tu, nikirudi kwenye mada mkuu as long hazina logo ya CHAMA then hawahusiani na CHAMA... CCM ya pale lumumba ninayoijua mimi logo yake ni jembe na nyundo hao hawahusiani CCM
 
BLUE GUARD and RED BRIGADE are HARMLESS. GREEN GUARD is HARMFUL!
 
hapa mi ni :help: katika hili, Nadhani walichokosea hawa jamaa kuesema sasa tunaingia kambini kwa mafunzo zaidi, mbona haya mafunzo yapo tu toka siku nyingi. Naona hapa kuna maslahi ya mtu fulani yanataka kuchezewa kwa hiyo anafanya defensingi mekanizimu, cha msingi kama una ona unahitaji ulinzi zaidi si tu kuwafundisha tukiona inafaa tufungue na vyuo kabisa, maana ajira hamna siku hizi.
 
View attachment 101881
View attachment 101882

View attachment 101883

View attachment 101884

View attachment 101885

View attachment 101886

View attachment 101887
Kwa leo inatosha, nitaendelea kuwaletea vituko vya hili jeshi lililoundwa na maadui wa taifa hili kwa njia ya picha...naamini picha haidanganyi, haifichi na haihitaji utetezi. Tuendelee...

Asante sana kwa kutufumbua macho. Wangekuwa na akili wangenyamaza kimya kwani wao ndio waanzilishi wa vikundi hivi vya uhalifu. HAKUNA AIBU KUBWA KAMA HII. Bahati mbaya wamezaliwa bila haya wanakuwa wa kwanza eti kutoa matamko ya kulaani wakati wao ndio wanaopaswa kulaaniwa! Baada ya ushahidi huu tunataka kusikia sasa kauli za Kikwete, Mwigulu na yule M/mbavu wao
 
Safi sana akili ndogo ndogo za kina Lukuvi,JK na wenzake linganisha na mtu mmoja tu CDM......wametegwa wakaingia kichwa!
 
Kazi ipo kwelikweli, kule Malawi enzi za Kamuzu watu walikuwa wanakula kichapo sana na wale Guards wa chama tawala....

Magamba wetu walishajisahau wakadhani kuwa ni wao peke yao ndio wenye haki ya kuwa na Guards...LMAO:wave:
 
Hizi picha zinaleta tafsir nyingi sana, lakini kubwa ni jinsi CCM wanavyoweza kuwatumia hata watoto wadogo au watu ambao wanaonekana innocent katika maslahi yao. Ewe Mwenyezi wape hekima walio katika madaraka waachane na upuuzi huu utakaoigharimu nchi huko tuendako
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kumbe tatizo ni kubwa zaidi ya tunavyolijua, naweza kusema thanks upinzani (CDM) kwa kuja na 'mkakati' wa kuyadhihirisha haya ili wenye macho waone, na wenye kuchukua hatua wachukue
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Tulipigania UHURU toka kwa wakoloni kutuwezesha Kupata chama Kimoja cha SIASA madarakani ...!Sasa vyama vya Kisiasa baada ya UHURU WA MKOLONI vinapigana na WANANCHI wake ili kupata NINI?

Poor US!!!

Duh,kweli kuna utofauti mkubwa wa uelewa kwa watanzania. Yaani upo radhi watanzania wenzako waendelee kula mlo mmoja kwa siku,wanafunzi wakae chini n.k. kisa tulishapata uhuru kutoka kwa mkoloni? Poor You,
 
hahahaha ati sikurudi tena, mwezi mtukufu huu i have better things to do siwezi kushinda JF tu, nikirudi kwenye mada mkuu as long hazina logo ya CHAMA then hawahusiani na CHAMA... CCM ya pale lumumba ninayoijua mimi logo yake ni jembe na nyundo hao hawahusiani CCM

How come then kiongozi wa ngazi ya juu kabisa ya chama anavaa logo ambayo siyo ya chama?
 
Kumbe tatizo ni kubwa zaidi ya tunavyolijua, naweza kusema thanks upinzani (CDM) kwa kuja na 'mkakati' wa kuyadhihirisha haya ili wenye macho waone, na wenye kuchukua hatua wachukue

Nililiona tokea mwanzoni kabisa nilipohoji juu ya wafuasi wa vyama kujitofautisha kwa kuvaa na kuwa na bendera za rangi za vyamba vyao na kwamba hili litaendelea kwenye nyanja nyingine.

Ni mara chache sana kwenye mikutano ya hadhara kukuta watu wamevaa au wana bendera ya taifa. Halafu hapo hapo tunaambiwa tujenge utafaifa wakati watu wako bize wakijenga vyama to the extent ya kuanzisha hata vikundi vyao vya ulinzi.

Kadiri muda unavyoenda wanasiasa wanaendelea kutugawa kivyama. Hii ni pamoja na kuanzisha vikundi vyao vya ulinzi ndani ya vyama. Wananchi ambao tuna haki ya kulindwa na polisi sasa huwa tunalindwa na vikundi vya ulinzi ndani ya vyama.

Tunawalipa polisi ili watulinde popote pale tulipo nchini. Wakati huo huo tunawapa hivi vyama vyama ruzuku kila mwezi ambayo fungu linakatwa kwa ajili ya kulipia na kuendesha vikundi hivi vya ulinzi.

Kimsingi tunalipa mara mbili kwa ulinzi mmoja ambao hata hauonekani maana watu bado wanauawa na kujeruhiwa kwenye mikutano ya siasa, n.k.
 



mkuu hii si tanzania... naona wadau washadakia ni CCM , hebu angalia hizo kofia CCM ilitakiwa kuwe na lable hii



images
attachment.php



hiyo alama hutumiwa na umoja wa vijana wa ccm
 
Back
Top Bottom