Mkuu EMT, picha hii hapa ni green guard au ni kitu gani? Mimi nashauri hii ya watu wanaosahau kuwa wana schools of guards wanatakiwa wakae kimya!!!! Kwa evidence hii ni aibu tupu!!! Atafune maneno yake na kuyameza na kuwaomba radhi watanzania!!! Kwa hiyo kuna green guard, gwanda guard, jeshi guard, UWT guard, you name all. Nimecheka mwenyewe kama mwehu nilipoona hii picha.
Mkuu EMT umenena, sijui kama ILO wanafahamu hili!! Ille CNN project ya child abuse inatakiwa iende mbali zaidi ya kuangalia sexual abuse tu. Imagine mototo wako badala ya kwenda shule anafundishwa unyama. Ila nahisi ni wale wa shule za akina nanihii maana kama ni zile zinazofaulisha sidhani hata kama wanathubutu kuwafikia!!! Kweli ni lazima kidato cha nne zero nyingi, na kidato cha tano madarasa hewa inajaza kwa kuwa wanafunzi hawana viwango!!!Huu mtindoi wa kuwatumia watoto kwenye siasa inabidi ukomeshwe.
Mkuu EMT, picha hii hapa ni green guard au ni kitu gani? Mimi nashauri hii ya watu wanaosahau kuwa wana schools of guards wanatakiwa wakae kimya!!!! Kwa evidence hii ni aibu tupu!!! Atafune maneno yake na kuyameza na kuwaomba radhi watanzania!!! Kwa hiyo kuna green guard, gwanda guard, jeshi guard, UWT guard, you name all. Nimecheka mwenyewe kama mwehu nilipoona hii picha.
Mkuu EMT umenena, sijui kama ILO wanafahamu hili!! Ille CNN project ya child abuse inatakiwa iende mbali zaidi ya kuangalia sexual abuse tu. Imagine mototo wako badala ya kwenda shule anafundishwa unyama. Ila nahisi ni wale wa shule za akina nanihii maana kama ni zile zinazofaulisha sidhani hata kama wanathubutu kuwafikia!!! Kweli ni lazima kidato cha nne zero nyingi, na kidato cha tano madarasa hewa inajaza kwa kuwa wanafunzi hawana viwango!!!
Picha zipo nyingi tuu. Kila chama kina "guard" wake
Sio tu kuwepo bali pia imeainishwa wazi katika katiba ya M4C iliyopo kwa Msajili wa vyama wakiitwa kama Red Brigade. Kwa uhakika muulize Tendwa,Msajili wa vyama .
Tulipigania UHURU toka kwa wakoloni kutuwezesha Kupata chama Kimoja cha SIASA madarakani ...!Sasa vyama vya Kisiasa baada ya UHURU WA MKOLONI vinapigana na WANANCHI wake ili kupata NINI?
Poor US!!!
Uhuru kamili
Sasa vyama vya Kisiasa baada ya UHURU WA MKOLONI vinapigana na WANANCHI wake ili kupata NINI?