CAF Msije mkaleta AFCON Tanzania ni hatari sana

CAF Msije mkaleta AFCON Tanzania ni hatari sana

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,657
Reaction score
10,020
Kitendo cha magaidi kuua maelfu ya watu tarehe 29 mwezi October 2025 na hakuna gaidi hata mmoja aliyekamatwa ni chakutisha

Nawasihi CAF wafikirie nchi nyingine salama isiyo na ugaidi ili wapeleke michuano hii.

Pia magaidi wengine wameweza kumteka kiongozi mkubwa serikalini ambaye alikuwa mwakilishi wa Samia huko Cuba na mpaka leo hawajakamatwa wala haijulikani mheshimiwa Humphrey Polepole yuko wapi.

Kwa usalama wa AFCON na watu wote, mashindano haya yapelekwe sehemu nyingine salama sio Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom