mkuu mbona umekwenda mbali sana unasema Putin.hata mimi mtoto wa mvuvi nisingekubaliEAC nchi zipo tano, viti vya kwenye zuria vipo vitano. Sasa huyo mwingine huko mwishoni aliekalia kiti cha mwakilishi wa nchi tuseme yetu ni nani? Yaani ni dharau za wazi kabisa dhidi ya Tanzania. Putini wa Urusi haki ya nani asingekubali.
EAC nchi zipo tano, viti vya kwenye zuria vipo vitano. Sasa huyo mwingine huko mwishoni aliekalia kiti cha mwakilishi wa nchi tuseme yetu ni nani? Yaani ni dharau za wazi kabisa dhidi ya Tanzania. Putini wa Urusi haki ya nani asingekubali.
mkuu mbona umekwenda mbali sana unasema Putin.hata mimi mtoto wa mvuvi nisingekubali
Nafikiri huyo mzee hakuwepo kwenye itifaki ya kupiga picha na hao viongozi au amelazimisha apige picha akidai anamwakilisha Jk!
Dada nyamaza
Namsikitikia mumewako 😕
Kwenye hili mimi sikubali lazima watz tuwe wamoja kwenye foreign issues tuwe wamoja la sivyo manyang'o watapeta
Akili ndogo za Bavicha
Kama nimsikitikiavyo anaekutwanga coz ni dhahili we ni punga.
Linapokuja suala la utaifa siasa tuweke pembeni uzalendo uwe mbele hawa jamaa wanaidharau sana Tanzania na kumuweka mwakilishi wa taifa letu kwenye nyasi hii ni dharau no matter alifanya nini BMK tulikemee hili
Kwa viongozi wapuuzi puuzi kama hawa, walioona ni sawa kusigina katiba kwa manufaa yao. Wala hakuna haja ya kuwaonea huruma, acha wadharauliwe hata nacwagagagigikoko.Linapokuja suala la utaifa siasa tuweke pembeni uzalendo uwe mbele hawa jamaa wanaidharau sana Tanzania na kumuweka mwakilishi wa taifa letu kwenye nyasi hii ni dharau no matter alifanya nini BMK tulikemee hili
Tangu watu wamejua kutumia fotoshopu imeshakua taabu. Hicho kiti cha bibi harusi na kipaimara kimefuata nini hapo?
Utaifa wa nini mbele ya Tapeli aliyechakachua maoni ya Watanzania?
Utaifa mbele ya muhuni aliyetukana matusi viongozi wetu wa kiroho?
Utaifa mbele ya Kibaka aliyeiba fedha za wajumbe wa Ukawa waliogomea Bunge haramu la Katiba?
Utaifa mbele ya dhulumati aliyeongeza kura feki za Zanzibar ili kupitisha Katiba Haramu?
Kwa hili nasema HAPANA.