Ndio dawa ya unafiki. Kifupi ni kuwa kavamia hiyo shughuli period.
Pro-CCM walivyokuwa hawaina aibu,watasema hii picha ni adobe photoshop imetumika.![]()
Hii picha kila nikiiangalai na nikimuangalia Mh Smuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma ,kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
Kwenye hili mimi sikubali lazima watz tuwe wamoja kwenye foreign issues tuwe wamoja la sivyo manyang'o watapeta
Kwenye hili mimi sikubali lazima watz tuwe wamoja kwenye foreign issues tuwe wamoja la sivyo manyang'o watapeta
Wabongo kwa kushabikia mambo ya kipumbavu mmeshinda.
Mkuu, hapo imedharauliwa Tanzania sio Sitta.
![]()
Hii picha kila nikiiangalai na nikimuangalia Mh Smuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma ,kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
Obama yuko bize ,trip zote za prof USA anapokelewa na balozi wetu mama Liberata Mulamula,tena huenda Obama huwa hajui kama jamaa katimba kwenye nchi yakeprof amekaa marekani wiki mbili bila obama kumtembelea....ingekuwa obama yupo anatibiwa tz??....pia unaweza ona sitta nae amebaguliwa na hao makamanda.... ukweli ni kuwa wapo level nyingine
Tanzania ipi mkuu huoni Sitta kaenda kama mualikwa binafsi sio official.check shingoni na kadi yake