Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

FOR THOSE WHO FEEL THE COUNTRY THIS IS VERY PAINFUL......

Japo nina machungu yangu dhidi ya Mzee Wetu huyu SITA na BUNGE la KATIBA kwa hili NAFEEL NI MIMI MWENYEWE, NA KAMA KAFANYIWA MTANZANIA YOYOTE YULE TOKA Magagura Songea, Mpaka Nyamongo Tarime Mara, Na kutoka Mwika Marangu Kilimanjro Mpaka Kanyigo Bukoba.

OUR FORE FATHERS WALITUACHIA TAIFA LENYE HESHIMA SANA KIMATAIFA-Mwalimu anasema mikutano ya UMOJA WA MATAIFA Mtanzania alikuwa akikaribia kuhutubia Wasikilizaji walikuwa wanasita kwenda kuvuta Sigara wanakaa kusikiliza Mtanzania huyo atasema Nini?Leo hii ni haya ya Mzee Sita.

Leo tuko hapa EAST AFRICA Mzee Sita mwakilishi wetu kawekwa kama MVAMIZI WA JAMBO LISILO MUHUSU...

DO WE NEED THEM THAN THEY NEED US!!!!..............Kama Mtanzania Nimejiona Nafasi Yangu Kwenye EAC kupitia PICHA HIYO YA SITA.

Wachina wansema A PICTURE SPEAKS A THOUSANDS WORDS............Picture hii Imeongea Maneno Maelfu Kwa Watanzania.

TULIPOFIKA ....MUNGU PANATOSHA.

We have undying love for Tanzania, we have no love for hypocrites who mingle with well intentioned EA leaders.
 
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Hii picha kila nikiiangalai na nikimuangalia Mh Smuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma ,kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
Mwenye tai nyekundu na mwanamama wanawakilisha nchi zipi?
 
Sio wanatudharau. Hata wao walichukia kudharauliwa kwa kupelekewa Waziri kwenye vikao muhimu ilhali rais yupo na makamu pia yupo. Walivyoona tz wanadharau nao wakarudisha dharau. Six kwenye kiti cha mbao tena kwenye majani

huyo mama hapo ni rais wa nchi gani?
 
kabisa mkuu nakuunga mkono tunahitaji viongozimasikini jeuri mambo ya kubembelezana kwenye masuala ya kimataifa sio jadi yetu watanzania

Hivi ile jeuri ya Viongozi wa Kitanzania ambayo Mataifa makubwa yalikuwa yanaappreciate imepotelewa wapi mpaka tunadhalilishana hivi...seriously hii issue KIDPLOMASIA NI DEMAGE!!!

Ila naamini VIONGOZI wenye damu halisi ya Kitanzania Watalisemea Kwa lugha ile ile ambayo tayari Mzee Sitta ambae kwa tendo hilo alilolionyesha mbele yao,ndio tendo ambalo nami ningelionyesha ili wakiiangalia hiyo picha wanasoma ALAMA BETWEEN THE LINE.

Thanks Mzee Sitta alikuwa mwerevu kukumbuka ilo la ''SURA YA NIEMEONA MLICHOTUFANYIA AKSANTENI SANA'' ili iwe kumbukumbu ya kidplomasia na hata vizazi vyao wakija kusikia miaka mia ijayo kuwa tuliwanyika fursa ya kufanya nao biashara kwenye rasilimali nyingi tulizo nazo kila wakiiona picha hiyo, vitukuu vinachapa makaburi yao viboko kwa kuona HAWAKUTENDA SAWA kwa kuwa ushahidi utakuwa ni hizo picha.

FUNZO KWETU PIA KUWA TUNA TATIZO LA MSINGI PIA NDANI YA TAIFA.....Manake ukiona Mtu anakudharau japo si vizuri kumfanyia mtu dharau lakini ni vyema mfanyiwa dharau kuludi nyuma na kuona kwanini anafanyiwa dharau na kejeri kila siku ANAMAPUNGUFU GANI!!!wakati anafanya hayo pia anatumia nafasi hiyo KULUDISHA HESHIMA YAKE INAPOSTAHIKI.
 
Kwakweli nimeshindwa kujizuia kucheka ingawa kwa uchungu mzee alivyowapiga jicho.
 
Alafu kiti cha Sitta mbona kiko tofauti na vya wenzake.? Hawa jamaa wanatudharau sana

Ni kama uwepo wake haukutambuliwa kabla, sasa walipogundua naye yupo around kikatafutwa kiti cha kawaida akapewa atokelezee kwa picha...
 
bila shaka haya majamaa hayakuwa na mwaliko. yamevamia shughuli ya watu.kwani hicho kiti....mgongo mama
 
Hahahahahaha dah leo nimecheka mpaka mbavu zinauma na machozi yanatoka kwa kucheka.
Kwanini huyo wa upande wa kulia asisogee ili nafasi ipatikane halafu hicho kiti sasa mhhh ila pozi lake duh duh
 
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Serves him right...hiyo ndiyo nafasi muafaka kwa kinyonga; mnafiki mkubwa!

images

View attachment 210433
HUYU NI BABU YAKE NA SAMWEL SITTA ALIKUWA ANAITWA MTEMI SAID FUNDIKIRA AKA SULTAN SAID

''Alitawala kuanzia mwaka 1917 mpaka 1927. Alifanikiwa kuwashawishi watemi wengine wa kanda ya magharibi kuchanga pesa, mifugo na mali nyingine ili kupata pesa za kujenga shule mbili za Tabora Boys na Tabora Girls.

Na yeye akatoa ardhi ya kujenga shule hizo kwa kuwa eneo hilo lilikuwa chini ya himaya ya Ikulu ya Unyanyembe. Vile vile Mtemi Said alikuwa mkarimu mno kiasi kwamba mtu akiunguliwa na nyumba yeye alimjengea nyumba mpya na kumpa chakula cha kumtosha kwa mwaka mzima.
...............................................

Yeye aliondolewa madarakani na wakoloni wa kiingereza baada ya kuwa hapeleki serikalini kodi aliyotoza wananchi, inasadikika alitumia pesa hizo kusaidia masikini. Hivyo kwa heshima na upendo aliyokuwa nao kwa wananchi wake wakoloni wa Kiingereza walilazimika wasimfunge jela ila walimuondosha Itetemia na kiti chake akakitwaa Mtemi Kiyungi II huyu alikuwa mtoto wa Mtemi Isike Mwana Kiyungi.''

Hivi Jeuri ile ya Fore Fathers [Ancestors] Kama hawa ilipotelea wapi jamani hizo damu zimebadilika vipi tunapitia hatua kama walizopitia Wahenga huku tushakuwa huru toaka 9/dec/1961. Wao pasipo Uhuru hawakukubali KUMNYENYEKEA MKOLONI..........IWEJE LEO MZEE SITA NA VIONGOZI WENGINE TUKO HURU TUNAPOTEZA HESHIMA!!!!!!!!!!!!
 
Hivi ile jeuri ya Viongozi wa Kitanzania ambayo Mataifa makubwa yalikuwa yanaappreciate imepotelewa wapi mpaka tunadhalilishana hivi...seriously hii issue KIDPLOMASIA NI DEMAGE!!!

Ila naamini VIONGOZI wenye damu halisi ya Kitanzania Watalisemea Kwa lugha ile ile ambayo tayari Mzee Sitta ambae kwa tendo hilo alilolionyesha mbele yao,ndio tendo ambalo nami ningelionyesha ili wakiiangalia hiyo picha wanasoma ALAMA BETWEEN THE LINE.

Thanks Mzee Sitta alikuwa mwerevu kukumbuka ilo la ''SURA YA NIEMEONA MLICHOTUFANYIA AKSANTENI SANA'' ili iwe kumbukumbu ya kidplomasia na hata vizazi vyao wakija kusikia miaka mia ijayo kuwa tuliwanyika fursa ya kufanya nao biashara kwenye rasilimali nyingi tulizo nazo kila wakiiona picha hiyo, vitukuu vinachapa makaburi yao viboko kwa kuona HAWAKUTENDA SAWA kwa kuwa ushahidi utakuwa ni hizo picha.

FUNZO KWETU PIA KUWA TUNA TATIZO LA MSINGI PIA NDANI YA TAIFA.....Manake ukiona Mtu anakudharau japo si vizuri kumfanyia mtu dharau lakini ni vyema mfanyiwa dharau kuludi nyuma na kuona kwanini anafanyiwa dharau na kejeri kila siku ANAMAPUNGUFU GANI!!!wakati anafanya hayo pia anatumia nafasi hiyo KULUDISHA HESHIMA YAKE INAPOSTAHIKI.

Hapo mwisho umejijibu mwenyewe! Siyo kwamba tunadharauliwa na Jirani zetu wa EAC tu bali hata huku Kusini hatuna ushawishi tena wa enzi hizo za Mwl. Nyerere. Wachawi ni sisi wenyewe tusimtafute mchawi nje ya Tanzania. Tusiendelee kuishi kwa nyota ya Mwl. Nyerere wakati tunachagua watawala wa hovyo na wajinga!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Anyway,inawezekana Sitta alizamia tu kwenye hiyo picha.

Kwa maneno mengine,mwakilishi wa raisi wetu,hakupangiwa kuwepo kwenye hiyo picha.
 
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike

Huyo mwanamama ni nani? EAC haina Rais mwanamke. Yawezekana Sitta kamwachia kiti huyo mwanamama, au mwanamama kakaa kwenye nafasi ya Sitta halafu kashindwa kumtoa kwa jinsi pose la huyo madada lilivyo. Ningekuwa mimi ningetimua au ningemtoa!!
 
Guys...naona kila mtu analalamika hapa kuhusu mzee Sitta. Sitta kaomba kupiga picha na hiyo delegate...the only option was for him to move with his chair na akajibanza hapo. Wageni wote walikuwa na type ya viti vya Sitta except marais
Kabla ya kulaumu tuwe tunajiuliza kwanza!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom