Alafu kiti cha Sitta mbona kiko tofauti na vya wenzake.? Hawa jamaa wanatudharau sana
,......kapewa kiti cha sendoff!
cheki anavyowacheki kwa jicho baya
Tena ni bora wangempa kigoda kama kilikuwepo.
hahahaha hicho kiti alichokaa huyo mdada alipaswa akke le profeseri. Sasa sijui ndiyo alimuwakilisha au?cheki anavyowacheki kwa jicho baya
acha upogoro!Acha usambaa
hahahahahaha..aisee sitta nae mpole sana, asingekubali. teh teh teh
sema chochote, hata kile kidogo ujuacho kuhusu protokali.Kiprotokali hiyo ni stahili yake.