Yaani akae kwenye majani,kiti tofauti na mkao wake ni kama mtu anayechungulia dirishani !hapo kuna namna!Kiprotokali hiyo ni stahili yake.
Ukifika la saba utaelewa tofauti ya waliokulia kwake na yeye[/QUOTE][QUkifikazi;11380679]![]()
Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike