Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Ujanja janja,unafiki unafki wafanye hapa hapa nyumbani wenzetu shule imepanda hawadanganyiki. Sita mfujaji tu, Mwapachu alikubalika sana EA.
 
Ivo waTanzania hatuwezi kujikakamua na kudai haki zetu hata katika chetu ?? Tutabakia mkia wa mwisho always !!
 
Sometimes when I say I'm okay,
I need someone to look me in the eyes,
Hug me tight, and simply say, no you are not!
 
MAMBO SITA YANAYOELEZEA HALI YA SAMWELI SIITA KATIKA PICHA YENYE WATU SITA

1.Sitta hakuwa amefikiriwa kwenye hii sherehe hivyo hata kiti chake hakiwepo ila kwa kumwonea aibu ikabidi wamwwite apige picha
2.sitta hakuwa amefikiriwa kuwa awepo kwenye hii sherehe na ndo maana hata carpet lilikuwa linaishia kwa huyu mama yeye sitta ni kama alilazimisha au lazimika kuwepo angalau.
3.maraisi waliokuwa wamelengwa wote walivaa suit zenye ukijivu na hata ukimwangalia huyu wa huku kulilia haikuwa nyeus kama ilivyo ya sitta naye kwa heshima walimpa kiti stahili na alikaa kwenye carpet
4.sitta aliwekwa kwenye majani kabisa sema kwa ubishi akaamua angalau naye akanyage carpet kwa lazima.
5.wakati wenzake wanatizama mbele yeye anawatizama wao hii ni baada ya kuwa amesogeza miguu kwenye carpet sasa anaangalia kama wamemwona au hawajamwona na kama wamemwona je wame mind?
6.sitta anawatizama maana hajiamini anahisi kama wanamsema hivyo amekaa akijishuku na hana amani kabisa,pia unaona amevaa kitambulisho maana alipoenda walinzi walimrudisha wakamwambia kavae kitambulisho sisi hatukufahamu ndo akaenda kuchukua kitambulisho....nenda kwenye harusi uliza kama bwana harusi na best man wana kadi....haitokei hata siku moja.[/QUOTHa ha ha aha ha ha wewe kiboko!!!!!!!
 
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg


......And God created the green carpet and, behold, it was good!
WHAT IS THE PROBLEM OF BEING HONORED THE GREEN CARPET IN A PLANET DEMANDING GREEN REFORMS?
 
Jee hivi ndivyo Tanzania tunavyostahili tunapokutana na wenzetu wa Africa Mashashiri?

Fanya observation ya hii picha halafu angalia tafsiri yake, Hii ni Juzi Kenya kwenye sherehe za Jamhuri ambapo Tanzania iliwakilishwa na Mh. Samweli Sitta.

View attachment 210965
Kilichofanywa hapo ni sawa. Kwa kipindi ambacho Kenya wanapitia kuhusu usalama, kuonyesha mshikamano angekwenda makamu wa rais. Tumewdharau na wao wameleta majibu muafaka. Kama ni hasira ziwe na busara mkulu mgonjwa inaeleweka. Membe diplomasia gani hii?
 
FOR THOSE WHO FEEL THE COUNTRY THIS IS VERY PAINFUL......

Japo nina machungu yangu dhidi ya Mzee Wetu huyu SITA na BUNGE la KATIBA kwa hili NAFEEL NI MIMI MWENYEWE, NA KAMA KAFANYIWA MTANZANIA YOYOTE YULE TOKA Magagura Songea, Mpaka Nyamongo Tarime Mara, Na kutoka Mwika Marangu Kilimanjro Mpaka Kanyigo Bukoba.

OUR FORE FATHERS WALITUACHIA TAIFA LENYE HESHIMA SANA KIMATAIFA-Mwalimu anasema mikutano ya UMOJA WA MATAIFA Mtanzania alikuwa akikaribia kuhutubia Wasikilizaji walikuwa wanasita kwenda kuvuta Sigara wanakaa kusikiliza Mtanzania huyo atasema Nini?Leo hii ni haya ya Mzee Sita.

Leo tuko hapa EAST AFRICA Mzee Sita mwakilishi wetu kawekwa kama MVAMIZI WA JAMBO LISILO MUHUSU...

DO WE NEED THEM THAN THEY NEED US!!!!..............Kama Mtanzania Nimejiona Nafasi Yangu Kwenye EAC kupitia PICHA HIYO YA SITA.

Wachina wansema A PICTURE SPEAKS A THOUSANDS WORDS............Picture hii Imeongea Maneno Maelfu Kwa Watanzania.

TULIPOFIKA ....MUNGU PANATOSHA.

sitta hata akija kijijini kwetu tutamtenga ni mnafiki xana
 
Mbona sio Samweli huyo?
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg


Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
 
utawala wa kikwete ni from hero to zero,EA hawatutaki,USA kaanza kutususa ,wananchi pi hawaitaki ccm na wamemchoka JK mwenyewe Zanzibar hawataki kuwa sehemu ya bara du hatai kwelikweli
 
kwani alitumwa na nani mbona watanzania atujuwi chochote naona kama anatudharirisha tu si mnakumbuka jinsi alivyo tudharirisha kwenye bunge la katiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom