Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Hii ni lugha ya picha ki ukweli tunapojenga nchi ya sisi watawala wao watawaliwa ni rahisi hata adui kutu vamia Hii picha ina maana tanzania imegawanyika ina matatizo ya ndani makubwa haina heshima na ina ingilika tuerekebishe hili haraka tusihubiri tufanye vitendo. Tazama ilishindikana nini watu kupewa fomu wakjaza upya kwa hizo dosari ndogo badala ya kuwaengua? tunarudi palepale wao sisi mambo ya katiba hivyohivyo tunapiga kampeni niyi msipige, sisi tunaruhusiwa kuelekezana ninyi kila mtu asome mwenyewe aielewe tunajenga kitu gani?
 
Separatism ni jambo baya has ukiwa victim we sometimes learn by being.
 
Wanafasihi wakianza kuchambua hapo kwenye kiti acha kabisa... wanaweza kutoa hoja za kukushangaza
mfano wanaweza wakakwambia Sitta kapewa kiti cha rangi...nyeupe, kwa sababu watawala wengi nchini mwake wanaabudi wazungu(ngozi nyeupe) kuliko raia wanowatala,.....ama wakamsifu kwa rangi ya kiti hicho hicho.

Hivi ilikuwa lazima apige picha katika mazingira yale...!? Samwel hamna kitu, katudhalilisha.
Pia weupe wa kiti unaweza kumaanisha kuwa aliyekikalia kiti ni mweupe kichwani, hana kitu cha kuchangia, au anawakilisha watanzania walivyo weupe vichwani.
 
Jee hivi ndivyo Tanzania tunavyostahili tunapokutana na wenzetu wa Africa Mashashiri?

Fanya observation ya hii picha halafu angalia tafsiri yake, Hii ni Juzi Kenya kwenye sherehe za Jamhuri ambapo Tanzania iliwakilishwa na Mh. Samweli Sitta.

Pic.jpg
 
Mbona iko poa tuu…Hao wote ni maraisi waliokalia hivyo viti na ktk kapeti..Sitta si anacheo cha uwaziri…sasa kwa nini akanyage kapeti nyekundu??Anahaki ya kukalia hicho kiti cha send off…zaidi ya hayo inaonekana kadandia tu hiyo picha, angalia wenzake wote hawana vitambulisho yeye kakivaa…Vilevile hao viongozi wanajua kuwa Sitta ni damu damu na CCM ndio wamempa akanyage nyasi za kijani
 
Alafu mbona hata kila kitu chetu ni tofauti, Sam yupo nje ya kapeti,amekalia kiti tofauti, wenzake wanaangalia camera yeye anawaangalia wao.......au labda ni mambo ya protokali.
 
Nilipata sikiliza kidogo sehemu ya hotuba ya rais wa uganda Y.MU 7 Katika sherehe ya kenya na nikagundua kuwa huyu jamaa ni future [II] dectator wa Uganda. Na huenda akatusumbua EA baadae kama ilivyo kuwa kw nduli Id Amin dada. Kwa kauli zake za kibabe na ubaguzi ulo pita kiwango jirani zetu wasichukulie km urafiki wao na huyu jamaa ni salama. Nimoja ya viongozi wa baka demokrasia ya vyama vingi. Sasa hapo utagundua kuwa hajatengwa kiongozi wa tz, bali kenya & uganda hawana mpango mzuri na sisi kwny EAC. Wana sema watz ni static.
 
Wa kulia ni Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Sudan ya Kusini, Benjamin Marial Barnabas. Huyu anamzidi protocol Sitta? Wa kutoka nchi muhimu?
Ujeuri wa kitoto wa JK umetufikisha hapa! Nashindwa kujua amekuwaje FM kwa miaka yote hiyo? Aah, lakini pia utauliza amekuwaje rais?
 
Hapo Sitta yupo tofauti kwa kila kitu.

Hilo zuria inaonekana limekatwa makusudi, na huyo mwanamke hapo kati sijui nani hadi apewe hadhi sawa na Marais.

Mi nahisi hapo Sitta ametokea kwa bahati mbaya lengo lilikuwa afutwe kabisa.
 
MAMBO SITA YANAYOELEZEA HALI YA SAMWELI SIITA KATIKA PICHA YENYE WATU SITA

1.Sitta hakuwa amefikiriwa kwenye hii sherehe hivyo hata kiti chake hakiwepo ila kwa kumwonea aibu ikabidi wamwwite apige picha
2.sitta hakuwa amefikiriwa kuwa awepo kwenye hii sherehe na ndo maana hata carpet lilikuwa linaishia kwa huyu mama yeye sitta ni kama alilazimisha au lazimika kuwepo angalau.
3.maraisi waliokuwa wamelengwa wote walivaa suit zenye ukijivu na hata ukimwangalia huyu wa huku kulilia haikuwa nyeus kama ilivyo ya sitta naye kwa heshima walimpa kiti stahili na alikaa kwenye carpet
4.sitta aliwekwa kwenye majani kabisa sema kwa ubishi akaamua angalau naye akanyage carpet kwa lazima.
5.wakati wenzake wanatizama mbele yeye anawatizama wao hii ni baada ya kuwa amesogeza miguu kwenye carpet sasa anaangalia kama wamemwona au hawajamwona na kama wamemwona je wame mind?
6.sitta anawatizama maana hajiamini anahisi kama wanamsema hivyo amekaa akijishuku na hana amani kabisa,pia unaona amevaa kitambulisho maana alipoenda walinzi walimrudisha wakamwambia kavae kitambulisho sisi hatukufahamu ndo akaenda kuchukua kitambulisho....nenda kwenye harusi uliza kama bwana harusi na best man wana kadi....haitokei hata siku moja.
 
Huyu jambazi mwizi wa katiba ya wananchi smhurumii hata kidogo!! Aende zake huko
 
Safi sana na bora angekaa chini kabisa. Hiyo ni laana ya kuchakachua bunge la katiba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom