Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Lakini Mkuu Molemo Mimi mwenyewe ya BMK sijayafurahia hata kidogo ila pale amesimama kama Tanzania na hapo ndio ninaona kuna umuhimu wa kuweka utaifa mbele hii ni dharau
hawa jamaa kweli wanatudharau mi nadhani tuangalie Rais ajaye awe strong zaid watatia adabu ila tukichagua mtu asiyejiamini matokeo yake ndio haya
 
wamenifurahisha sana, kwanza wangempa kigoda kabisa
 
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike

Au huyu sitta hicho kiti alikuja nacho mwenyewe akajipachika hapo nini? kukalishwa kwenye majani ni aibu sana tena na ti cha kitchen party
 
Wanajamvi heshima sana.

Huu mkutano ulikuwa maalamu kwaajili ya CoW siku hizi wamebadili jina wanajiita Northern Corridor Sitta alikuwa mgeni mualikwa.Unajua siku hizi EAC ipo shabala bagala tangu Uhuru Kenyatta alipokubali kuburuzwa na Hima Empire ya akina M7 a PAKA siku akijakubumburuka itakuwa too later.
 
mambo aliyokuwa anawaza na kufanya hapo alipo huyu Six ni sawasawa na aliyofanya kwenye suala la Katiba mpya. Alipewa rasmi ya Warioba akalazimisha kuingiza katiba ya chichim. hapo wamemkalisha kwenye majani, amelazimisha mguu mmoja kuweka kwenye red carpet. Huyu mzee ana matatizo kichwani.
 
Wamekafanya kama putin alivyofanywa na akina obama denmark. Akaondoka kwa hasira na kuwaacha waendelee na kikao chao.

Wamekaweza sana kanafiki haka.
 
Hawa Jamaa wanaakili sana! hapo wamempa za uso! ... Makamu wawili wa Rais, PM, wote hao hawakuona umuhimu wa kwenda hadi apelekwe huyu mchakachuaji? Amini usiamini angekwenda Lowassa wangempa Heshma na hadhi iliyo sawa na yao!!! Hawa majamaa huwa wanaheshimu sana uwezo wa mtu siyo title pekee... Sitta utafikiri Mjusi kabanwa na mllango!!!
 
Walikuwa hawamtegemei kuwepo ndio maana wakachukua kiti jikoni kichafu wakafunika na kitambaa akakalishwa. Huo udhalilishwaji ni majibu ya Mungu ya maombi ya watanzania na kama hajui, hiyo ni trailer, sinema yenyewe inakuja uchaguzi 2015 kule Urambo.
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
 
Mie naona hao marais ndio wamedharaulika zaidi, na Tanzania imedhihirisha kuwa inawadharau sana hawa CoW kiasi kwamba imewaona marais hao size yao waziri wa Afrika mashariki. Sasa wao kutofautisha viti ni hasira tu za kuzaraulika na ndio maana imebidi wamtreat 6 kama visitor tu.
 
Maskini fisadi la katiba sita limetengwa alafu hapo inaelekea lilikuwa limealikwa kama mgeni wa kawaida si unaona limevalishwa na kitambulisho cha shingoni
 
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike

ANALAZIMISHA MIGUU ISIKAE KWENYE NYASI-mguu mmoja kaweka kwenye Kapeti

to the hell huyu mnafiki
 
Siku nyingine wakatume na ka-Membe kenyewe si ndo huwa kanajitia kiherehere kubweka bungeni?ndo watakakalisha kwenye nyasi kabisaaa aheri ya 6!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom