Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Hii picha kila nikiiangalai na nikimuangalia Mh Smuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma ,kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
Hii roho yako inaonekana inauma hata kwenye vitu visivyo vya maana.
 
Huyu ata wangemchukua awe raia wao kabisa, huku tz sidhani kama anahitajika
 
Inaonekana hata kile kiti alichokalia hakina hadhi kabisa...ndio maana wamekifunika na kitambaa kuficha aibu yetu. Sijui kwa nini hakuchapa lapa?
 
Sio wanatudharau. Hata wao walichukia kudharauliwa kwa kupelekewa Waziri kwenye vikao muhimu ilhali rais yupo na makamu pia yupo. Walivyoona tz wanadharau nao wakarudisha dharau. Six kwenye kiti cha mbao tena kwenye majani
 
Safi sana.Huyo mnafiki alistahili kukelishwa kwenye ndoo.

Huyu mnafiki atakufa mdomo wazi kwa kutukana matusi maaskofu
 
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Hii picha kila nikiiangalai na nikimuangalia Mh Smuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma ,kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike

Haki mama , nimecheka sio tu kuwa ka kaweka kamguu kake ka kushoto, na anakamba shingoni nyeupe. kwi kwi kwi kwi kwi
 
Hiki ya Mama alivamia, angali suti walizovaa marais yeye Nyeusi wenyewe?
 
Haki mama , nimecheka sio tu kuwa ka kaweka kamguu kake ka kushoto, na anakamba shingoni nyeupe. kwi kwi kwi kwi kwi
kuna msemo kuwa mbwa mkali kwao ,mtu anayeheshimika nchini yaani kule yeye wame mregard kama VISITOR sawa na wapiga picha wa vyombo vya habari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom