PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

Hahahaa unajua nini Komredi?

Niliposikia huyo trafiki kamng’ata jamaa nilicheka sana.

Nikajisemea tu mwenyewe hapa...hao trafiki walikuwa wapo watatu na wote wanamchangia, Sasa kwa nini huyo mmoja amng’ate huyo dreva?

Yaani jibaba zima unamng’ata mwanaume mwenzio?

Kumbe hata wanaume wa mikoani si chochote!

Kazi kuwananga wanaume wa Dar ilhali wao ndo bure kabisa.
Tena wanaume wa mikoani wenye mamlaka na silaha.... wanamng'ata mwanaume mwenzao.... Acha niendelee kula biriani la Magomeni kwa bi Shadya
Huwezi jua, labda huyo Shuarezi (mng'ataji ) kahamishiwa mkoani kutoka Dar, halafu we mzee wa Laptop mbona humsifii huyo dereva wa FUSO alivyo wapeleka mchakamchaka hao wauza bucha hadi wakakimbia wote; wanaume wa mikoani hatutakagi UJINGA, sisi asubuhi breakfast yetu ni UGALI dona, mchana hivyo hivyo halafu jioni ndio huo wali wenu wa kwa mama shadya wako.

Lakini police wajue pia Mungu yupo, nimesikiliza HOJA zao za kumkamata huyo dereva ukweli wanatia HASIRA sana, video tumeiona wote halafu eti wao lawama zote kwa dereva, kweli Mungu yupo mbali sana aise. Matendo ya police dhidi ya raia yanazidi kuwatengenezea chuki tu; tukumbuke lile sakata la trafiki kukamata madereva waliokua wanaendelea na safari kwenye zebra bila kuwasha taa za hazards (wakati kimsingi sio sharia, walijitungia tu na sasa hivi wameacha ) dereva mmoja wa semi aliziba njia Dodoma so kukawa hakuna magari yanayo kwenda wala kurudi, baadae walimuachia aendelee na safari. Nadhani serikali ingeachana na utaratibu wa kutegemea makosa ya barabarani kama revenue
 
Huwezi jua, laba huyo Shuarezi (mng'ataji ) kahamishiwa mkoani kutoka Mbeya, halafu we mzee wa Laptop mbona humsifii huyo dereva wa FUSO alivyo wapeleka mchakamchaka hao wauza bucha hadi wakakimbia wote; wanaume wa mikoani hatutakagi UJINGA, sisi asubuhi breakfast yetu ni UGALI dona, mchana hivyo hivyo halafu jioni ndio huo wali wenu wa kwa mama shadya wako.
Acha zako Wewe... hiyo Fuso ilitokea Tandale kuja mkoa huko. Matrafiki wakachezea vitasa vya kidume cha Dar... wakaamua kuwa madogi
 
Na hao matrafiki wang'ataji wanatokea Tarime?
Acha hizo wewe, Tarime wilaya ndogo tu na serikali iliona ipeleke police mwenye hadhi ya RPC, kule hawatakagi UJINGA. Halafu yule msela ( dereva ) si uliona katoka na panga!? Hakunaga dereva wa hivyo Dar, fanya tena UTAFITI
 
nina wasiwasi na mafunzo ya hao traffic wang'ataji wanakula ulojo siku hizi ,traffic hana ruhusa ya kumkamata mhusika wa chombo hana haja ya kutumia manguvu kama tulivyoona,yeye afanye kazi yake aweke kumbukumbu zake vizuri chombo kitafuatiriwa vizuri na ndio maana wanavaa uniform nyeupe kwamba muda wote uwe smart sasa wewe uanze kukabana ikifika jioni hizo uniform si zitakuwa chafu kama watoto wa chekechea,shuruba hizo ni za ffu, askari wa kawaida, jeshi, wewe traffic kuwa smart na hizo sare zako ung'ae barabarani.
Wasiwasi wa nini wakati traffic alitumia reasonable force?? Hiyo ni kutokana na maelezo ya Mkuu wa polisi mkoa wanajifanyaga songwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo wewe, Tarime wilaya ndogo tu na serikali iliona ipeleke police mwenye hadhi ya RPC, kule hawatakagi UJINGA. Halafu yule msela ( dereva ) si uliona katoka na panga!? Hakunaga dereva wa hivyo Dar, fanya tena UTAFITI
Wanaume wa mkoa mna meno makali kama ya dogi
 
Back
Top Bottom