Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,692
- 26,583
Jeraha la meno la dereva aliyeumwa na trafiki.
Mbona padogo tuJeraha la menu la dereva aliyeumwa na trafiki.View attachment 993586
Mkuu ni "menu" au "meno"?[emoji16]Jeraha la menu la dereva aliyeumwa na trafiki.View attachment 993586
Mmh! Mbona yule dereva Hana rangi hii[emoji44] au macho yangu makengeza!?Jeraha la menu la dereva aliyeumwa na trafiki.View attachment 993586
Kwani huyu ana rangi gani mkuu?Mmh! Mbona yule dereva Hana rangi hii[emoji44] au macho yangu makengeza!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Apake mavi ya kuku, traffic aoze menoJeraha la meno la dereva aliyeumwa na trafiki.View attachment 993586
Ha ha haaaa...dah, kitambo sana!!
Ee! Kwani huyu dereva[emoji44]Kwani huyu ana rangi gani mkuu?View attachment 993642
Achukuliwe hatua hiyo vip,Hivi yule mbwa aliyemuuma yule dereva amechukuliwa hatua,?
Ni menu maana walitaka kumfanya nyama choma
Labda ametakata baada ya kuoga.Mmh! Mbona yule dereva Hana rangi hii[emoji44] au macho yangu makengeza!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Some magazeti ya Leo. Faili la hao mbwa liko mezanikwa LugolaAchukuliwe hatua hiyo vip,
Subiri uone dereva atakavyobambikiwa case ya kwenda jera bila dhamana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia asubuhi magazetini Lugola kaamuru wale matrafi wakamatwe, kwa kweli mitandao imekuwa msaada sana.Achukuliwe hatua hiyo vip,
Subiri uone dereva atakavyobambikiwa case ya kwenda jera bila dhamana
Sent using Jamii Forums mobile app