Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,654
- 863,518
Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugalo
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Pamoja na mamlaka aliyonayo kisheria kama trafiki lakini huyu bwana ANDREW Huwa hana weledi katika majukumu yake!
Huyu andrew anatabia hata kutoa lugha za matusi kwa dereva ( Mfano; wee msenge nimekwambia nipe leseni yako) .
Shida nyingine ambayo Andrew aliyonayo huwa akishika leseni anaweza kukuandikia makosa kwa lazima au kukupotezea muda makusudi,
Kibaya zaidi Trafiki huyu anatabia za kuchomoa funguo kwa nguvu huku akitoa lugha chafu!
Ni kweli tunatambua Trafiki anayo mamlaka ya kisheria lakini hana mamlaka ya kutumia lugha chafu na kutweza utu wa watu kwa maneno tena wakati mwingine unatukanwa mbele ya mzazi au mke. Inaumiza sana na kutia hasira kwa wasioweza kujizuia
Tunaomba sana watu wote tuzingatie sheria lakini Askari wa usalama barabarani waelekezwe weledi katika kutekeleza majukumu yao pasipo kutweza utu wa mtu!
BAADHI YA TRAFIKI HAWANA WELEDI WANAZALILISHA SANA MADEREVA BILA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNI