PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

Wanatakiwa kushtakiwa wale TRAFIC, kudhuru kwa kutumia silaha, shambulizi la kimwili. NB chochote kinacholeta madhara kimwili ni silaha hata pebseli. (Assault and intent To Cause Bodily Harm)
 
nina wasiwasi na mafunzo ya hao traffic wang'ataji wanakula ulojo siku hizi ,traffic hana ruhusa ya kumkamata mhusika wa chombo hana haja ya kutumia manguvu kama tulivyoona,yeye afanye kazi yake aweke kumbukumbu zake vizuri chombo kitafuatiriwa vizuri na ndio maana wanavaa uniform nyeupe kwamba muda wote uwe smart sasa wewe uanze kukabana ikifika jioni hizo uniform si zitakuwa chafu kama watoto wa chekechea,shuruba hizo ni za ffu, askari wa kawaida, jeshi, wewe traffic kuwa smart na hizo sare zako ung'ae barabarani.
Wewe umeliona la kung"ata tu, je la yeye kukaidi, kutukana matusi na lile panga je. Kila mtu anaipenda kazi yake na maisha yake. Yeye angetimiza wajibu wake hayo yote yasingetokea kwa mtazamo wangu. Askari nao kung"ata ni mambo ya kike. Kama amewatukana, mpelekeni mahakamani sheria ichukue mkondo wake
 
nina wasiwasi na mafunzo ya hao traffic wang'ataji wanakula ulojo siku hizi ,traffic hana ruhusa ya kumkamata mhusika wa chombo hana haja ya kutumia manguvu kama tulivyoona,yeye afanye kazi yake aweke kumbukumbu zake vizuri chombo kitafuatiriwa vizuri na ndio maana wanavaa uniform nyeupe kwamba muda wote uwe smart sasa wewe uanze kukabana ikifika jioni hizo uniform si zitakuwa chafu kama watoto wa chekechea,shuruba hizo ni za ffu, askari wa kawaida, jeshi, wewe traffic kuwa smart na hizo sare zako ung'ae barabarani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inaitwa mbinu mbadala

Jr[emoji769]
 
nina wasiwasi na mafunzo ya hao traffic wang'ataji wanakula ulojo siku hizi ,traffic hana ruhusa ya kumkamata mhusika wa chombo hana haja ya kutumia manguvu kama tulivyoona,yeye afanye kazi yake aweke kumbukumbu zake vizuri chombo kitafuatiriwa vizuri na ndio maana wanavaa uniform nyeupe kwamba muda wote uwe smart sasa wewe uanze kukabana ikifika jioni hizo uniform si zitakuwa chafu kama watoto wa chekechea,shuruba hizo ni za ffu, askari wa kawaida, jeshi, wewe traffic kuwa smart na hizo sare zako ung'ae barabarani.

Hao traffic waache kwanza kuvuta bangi. Yaani wengi wao bangi ni kama samaki na maji. Tunao mtaani tunawaona.
 
Habari za Usubuhi wana ndugu ni tumaini langu kuwa ni wazima wa Afya na wale ndugu zetu wagonjwa tunawaombea kwa M/Mungu awapatie Shifaa

Kuna habari imeenea sana sasa hivi kwenye vyombo vya habari kuusu sakata la Matrafiki watatu kupigana na Dereva wa Fuso huko Tunduma mkoani Songwe.

Siku ya Jana watu Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ( LHRC) jijini Dar es salam kilitoa tamko la kulaani tukio la Trafiki watatu kutumia nguvu kubwa kupambana na dereva huyo.

Aidha tukio hilo limedaiwa kuwa ni kinyume cha sheria ya kanuni ya adhabu sura 16 ,Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 na Sheria ya Jeshi la Polisi na huduma saidizi sura ya 322 kama ilivyoelezwa ktk tamko hilo lilotolewa na watu wa haki za Binadamu.

Binafsi nilichotaka kujuzwa na watu wa Sheria regardless kwamba Polisi au Dereva ndiye aliyekuwa na Makosa, Je kitendo cha Trafiki Kumng'ata Dereva na kumsabishia maumivu makali na kumuachia Kovu la Kudumu dereva huyo kisheria jambo hili likoje? Je nisahihi ?

Naomba mnijuze wataalamu !!!View attachment 994710View attachment 994709

Sent using Jamii Forums mobile app
Polis huyo ana meno makali Kama fisi
FB_IMG_15475351834058285.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa unajua nini Komredi?

Niliposikia huyo trafiki kamng’ata jamaa nilicheka sana.

Nikajisemea tu mwenyewe hapa...hao trafiki walikuwa wapo watatu na wote wanamchangia, Sasa kwa nini huyo mmoja amng’ate huyo dreva?

Yaani jibaba zima unamng’ata mwanaume mwenzio?

Kumbe hata wanaume wa mikoani si chochote!

Kazi kuwananga wanaume wa Dar ilhali wao ndo bure kabisa.
Mwanaume wa Mkoani alikuwa anatembeza mkono ndio Traffic wanaoaminika ni kutoka Dar wakaamua kutumia mbinu mbadala ya kung'ata.
 
Back
Top Bottom