PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

Polisi kila alichonacho mkononi no silaha,

Sasa ulitaka polis afanyaje Kama mtuhumiwa kagoma kutii amri?

Hongera polis kwa kumdhibiti huyu muhuni, Angefanikiwa kuwatoroka mgechekwa sana nayeye angejisifu Sanaa kwa mkewe mahawara zake na marafiki zake na angekuwa anatumia tukik Hilo kunionesha Yeye NI mwamba,

HUYO AFUNGWE MIAKA 15 Kadharirisha nembo ya Taifa
 
Inaoneka wewe una uelewa mdogo sana,kulingana na maneno yako
Polisi kila alichonacho mkononi no silaha,

Sasa ulitaka polis afanyaje Kama mtuhumiwa kagoma kutii amri?

Hongera polis kwa kumdhibiti huyu muhuni, Angefanikiwa kuwatoroka mgechekwa sana nayeye angejisifu Sanaa kwa mkewe mahawara zake na marafiki zake na angekuwa anatumia tukik Hilo kunionesha Yeye NI mwamba,

HUYO AFUNGWE MIAKA 15 Kadharirisha nembo ya Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natambua kua uwezo wa kufikiri kati ya sisi binadamu unatofautiana ila sikua naamini mwanzoni kua kuna watu wana uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe.

Sasa kama kila kitu ni silaha........unawezaje kuitumia silaha dhidi yako? Unatumia meno kama silaha je kama huyo mwingine ni mgonjwa huoni kama unajimaliza??
 
Polisi kila alichonacho mkononi no silaha,

Sasa ulitaka polis afanyaje Kama mtuhumiwa kagoma kutii amri?

Hongera polis kwa kumdhibiti huyu muhuni, Angefanikiwa kuwatoroka mgechekwa sana nayeye angejisifu Sanaa kwa mkewe mahawara zake na marafiki zake na angekuwa anatumia tukik Hilo kunionesha Yeye NI mwamba,

HUYO AFUNGWE MIAKA 15 Kadharirisha nembo ya Taifa

Hahahaaa yaani trafik case uanze kung'atana na kondakta sijui dereva,
Gari iko hapo unaanza kupigana?!

Askari msogezewe walau mmalize form six labda akili zitafunguka
 
RPC kaongea neno moja
Picha imeongea maneno elfu
Video imeongea maneno milioni!

Kama kweli tunaamini uongo na dharau zinaweza kujenga viwanga basi na endeleeni kutudanganya mtaona mwisho wake!
 
Kwa ukaidi wake na fujo alizofanya, ingekuwa USA angepigwa risasi on the spot.
 
Back
Top Bottom