Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,572
- 16,047
Ndiyo maana Lugola kamwambia kamanda wa usalama barabarani ajitafakari, yaani polisi hawa wala rushwa na wabambikiaji wa kesi wamemuonea huyu dereva anakuja na longo longo eti aliwapiga polisiJeraha la meno la dereva aliyeumwa na trafiki.View attachment 993586