PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

Habari za Usubuhi wana ndugu ni tumaini langu kuwa ni wazima wa Afya na wale ndugu zetu wagonjwa tunawaombea kwa M/Mungu awapatie Shifaa

Kuna habari imeenea sana sasa hivi kwenye vyombo vya habari kuusu sakata la Matrafiki watatu kupigana na Dereva wa Fuso huko Tunduma mkoani Songwe.

Siku ya Jana watu Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ( LHRC) jijini Dar es salam kilitoa tamko la kulaani tukio la Trafiki watatu kutumia nguvu kubwa kupambana na dereva huyo.

Aidha tukio hilo limedaiwa kuwa ni kinyume cha sheria ya kanuni ya adhabu sura 16 ,Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 na Sheria ya Jeshi la Polisi na huduma saidizi sura ya 322 kama ilivyoelezwa ktk tamko hilo lilotolewa na watu wa haki za Binadamu.

Binafsi nilichotaka kujuzwa na watu wa Sheria regardless kwamba Polisi au Dereva ndiye aliyekuwa na Makosa, Je kitendo cha Trafiki Kumng'ata Dereva na kumsabishia maumivu makali na kumuachia Kovu la Kudumu dereva huyo kisheria jambo hili likoje? Je nisahihi ?

Naomba mnijuze wataalamu !!!View attachment 994710View attachment 994709

Sent using Jamii Forums mobile app

Watz na elimu ya ukimwi tupo nyuma sana .Yani unamngata kabisa mtu. Kama ana ngoma?
 
Hahahaa unajua nini Komredi?

Niliposikia huyo trafiki kamng’ata jamaa nilicheka sana.

Nikajisemea tu mwenyewe hapa...hao trafiki walikuwa wapo watatu na wote wanamchangia, Sasa kwa nini huyo mmoja amng’ate huyo dreva?

Yaani jibaba zima unamng’ata mwanaume mwenzio?

Kumbe hata wanaume wa mikoani si chochote!

Kazi kuwananga wanaume wa Dar ilhali wao ndo bure kabisa.
Mkuu huyu jamaa naye yuko vizuri aliwapa vitasa vyakutosha ndio trafiki mmoja akaona amng'ate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa unajua nini Komredi?

Niliposikia huyo trafiki kamng’ata jamaa nilicheka sana.

Nikajisemea tu mwenyewe hapa...hao trafiki walikuwa wapo watatu na wote wanamchangia, Sasa kwa nini huyo mmoja amng’ate huyo dreva?

Yaani jibaba zima unamng’ata mwanaume mwenzio?

Kumbe hata wanaume wa mikoani si chochote!

Kazi kuwananga wanaume wa Dar ilhali wao ndo bure kabisa.
Traffics wanaume wa dar hawawezi kufanya upuz kama huo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Traffics wanaume wa mkoani sijui wakoje
Hawatumi mikono wa kungata!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nina wasiwasi na mafunzo ya hao traffic wang'ataji wanakula ulojo siku hizi ,traffic hana ruhusa ya kumkamata mhusika wa chombo hana haja ya kutumia manguvu kama tulivyoona,yeye afanye kazi yake aweke kumbukumbu zake vizuri chombo kitafuatiriwa vizuri na ndio maana wanavaa uniform nyeupe kwamba muda wote uwe smart sasa wewe uanze kukabana ikifika jioni hizo uniform si zitakuwa chafu kama watoto wa chekechea,shuruba hizo ni za ffu, askari wa kawaida, jeshi, wewe traffic kuwa smart na hizo sare zako ung'ae barabarani.
 
Yaani ningekuwa IGP huyo trafiki aliyemng'ata ningemtimua maana amedhihirisha alivyo mjinga na mwenye uelewa mdogo sana kuhusu afya nyakati hizi. Ikiwa ngono tu watu wanavaa viroba sehemu za siri ili kujikinga na damu ikitokea michubuko. Inakuwaje askari ujitoe ufahamu na kuanza kunyonya damu ya mtu usiyejua hali yake kiafya? Hivi huyu askari angekuwa na silaha hapo si angeua watu wote maana kimsingi hana akili kabisa. He has mental disorder, anatakiwa akafanyiwe uchunguzi wa akili yake.

Huyu ni mwanausalama wa hovyo kabisa asiyejali hata usalama wake yeye mwenyewe au ni shoga manake kwa umri huo kukimbilia kumng'ata mwanaume mwenzako lazima iko namna mbovu mwilini!!!
 
Wewe pia jitahidi kuwa smart katika uandishi wako.
Hao askari wetu ndio tabia zao hizo wanajikutaga wao ndio wao na hapa ndipo tatizo linapoanzia.
Sio askari tu hata viongozi wetu tunaona jinsi wanavyojitutumua kwenye baadhi ya mambo bila kutumia weledi.
Kwa kifupi niseme tu ni tabia ya watu wengi wanapokuwa na nafasi fulani kuitumia ile nafasi ndivyo sivyo ilimradi tu aonekane yeye ndio mkubwa au ana mamlaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WALE NASIKIA KWA SIKU WANAPELEKA HESABU KWA WAKUBWA WAO.
Ndio maana hata kung'ata kama mijibwa hawaoni aibu
 
Yaani ningekuwa IGP huyo trafiki aliyemng'ata ningemtimua maana amedhihirisha alivyo mjinga na mwenye uelewa mdogo sana kuhusu afya nyakati hizi. Ikiwa ngono tu watu wanavaa viroba sehemu za siri ili kujikinga na damu ikitokea michubuko. Inakuwaje askari ujitoe ufahamu na kuanza kunyonya damu ya mtu usiyejua hali yake kiafya? Hivi huyu askari angekuwa na silaha hapo si angeua watu wote maana kimsingi hana akili kabisa. He has mental disorder, anatakiwa akafanyiwe uchunguzi wa akili yake.

Huyu ni mwanausalama wa hovyo kabisa asiyejali hata usalama wake yeye mwenyewe au ni shoga manake kwa umri huo kukimbilia kumng'ata mwanaume mwenzako lazima iko namna mbovu mwilini!!!
Alafu wote hawa jamaa wanasifika sana na huu ugonjwa wa kisasa sasa jamaa sijui alijiaminisha vipi mpaka akaamua kumtoa mwenzie kipande cha mnofu begani itakuwa sasa hivi anajutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vibaraka wa Ccm wanang'ata km mbwa basi na wao Mbwa
 
Na bado kuna waziri ilisemekana alimpiga roba mwekezaji akiwa ofisini kwake.

Sijui mafunzo hayo aliyapatia wapi?
 
Traffic wanaume wa mkoani wametuangusha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Traffic dar huwa wanazungumza tu mnaelewana hawanaga mmbo ya ubondia [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hao wa mkoa wamefanya ubondia au umama? Utamng'ataje mwanaume mwenzio? Huo ndio umama sasa. Wanaume wa mkoa ni sawa na madogi ya Dar
 
Back
Top Bottom