PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

PICHA: Jeraha la dereva aliyeng'atwa na trafiki

Traffic Wa bongo wanasomea mafunzo aliyopitia Louis Suarez na Mike Iron Tyson.
Shule imekushinda na ngumi zimekushinda, yaaani ulishindwa kupigana kiume uokote hata jiwe au tofali ukaamua kupigana kimama-mama kwa kuuma.
Aibu kubwa sana kwa Polisi Wa New York
Aisee
FB_IMG_15475351834058285.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu sana kwa askari kumng'ata raia. Ndio yale tunasifia makomandoo wetu kupiga ngumi matofali... Afu tunatamba wanajeshi wetu wako imara.

Dunia ya sasa unawezaje kujisifia kupiga ngumi tofali? Mbeba box komredi Nyani Ngabu nifanyie mpango wa makaratasi nami nije kubeba box. Ulevi wa mavumbi sio ishu wallah
Hujui na hizi no mbinu za kivita
FB_IMG_15475351834058285.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa unajua nini Komredi?

Niliposikia huyo trafiki kamng’ata jamaa nilicheka sana.

Nikajisemea tu mwenyewe hapa...hao trafiki walikuwa wapo watatu na wote wanamchangia, Sasa kwa nini huyo mmoja amng’ate huyo dreva?

Yaani jibaba zima unamng’ata mwanaume mwenzio?

Kumbe hata wanaume wa mikoani si chochote!

Kazi kuwananga wanaume wa Dar ilhali wao ndo bure kabisa.
Mkuu huenda ni mafunzo ya kijeshi
FB_IMG_15475351834058285.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom